Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na msimamo wangu dhidi ya Magufuli upo palepale!
Lakini usirushe cheche za matusi. Jifunze kuignore watu wanaokuudhi. Finya ignore button tu na mambo yanakuwa shwari, hutaona comment ya anayekuudhi tena. Hatutaki kukupoteza huku maana huwa unapost habari nyingi sana zinazotuarifu mambo mengi tu.
 
Na siye hapa kwetu huko Mtwara kuna askari waligongwa halafu dereva akataka kuchukua bunduki zao! Naona tukio limekaushiwa kiaina ila sidhani kama alikuwa dereva wa kawaida! Tangu wale wa Cabo Delgado wasambaratishwe wamehamisha makazi nchi za jirani!
Yeah, ishu ya Mtwara nilisikia sikia hivyo Kwa kuwa hakukuwa na taarifa iliyo nyooka from mainstream media..

Habari inafinywa sababu labda ya dereva mwenyewe kuwa na utata na pia labda kulinda kampuni anayofanyia kazi. Ila wakimfatilia namna alivyoajiria na mikataba yake labda wanaweza kupata kitu. Problem ndio hivyo vyombo vya habari vimepotezea hiyo habari.
 
Wewe Tanzania umefika wapi ukaona upuuzi kama wa Kenya? Maana Mimi parklands, Nairobi west, south c, na ngara nakujua vizuri hata South b nimekaa pia🙂
Upuzi gani jamaa? 🤣 🤣 🤣

Ndio hawa matajiri Wa bongo
1. Mo Dewji
2. Rostam Aziz
3. Said Bakhresa
4. Ally Awadh
5. Shekhar Kanabar
6. Shubash Patel
7. Hussein Rashid
8. Yusuf Manji
9. Salim Turkey
10. Ghalib Mohamed

Yani hamna Mwafrika mweusi hata mmoja.
 
Hao walijiandaa bana, wakakimbila bongo kufundisha kiingereza chenye lafudhi ya njaa.

[emoji1787][emoji1787]

Key words: lafudhi ya Njaa.


#Connectioshoni
#Educashoni


BTW ( To some degree) what is the Kenyan Population again????? [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

IMG_2164.jpg
 
Kulingana na Ka research kadogo , ianasemekama hali ni mbovu so Bus unakuta lina abiria wanne kwingine kote mizigo tani Kadhaa aka Parcels . Imagine hilo kufuli umfungie mbongo humo kama atapanda Bus lako.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu ambao hawana kinyongo au chuki na Kenya wanaweza kutazama hii video fupi.
 
Upuzi gani jamaa? 🤣 🤣 🤣

Ndio hawa matajiri Wa bongo
1. Mo Dewji
2. Rostam Aziz
3. Said Bakhresa
4. Ally Awadh
5. Shekhar Kanabar
6. Shubash Patel
7. Hussein Rashid
8. Yusuf Manji
9. Salim Turkey
10. Ghalib Mohamed

Yani hamna Mwafrika mweusi hata mmoja.
Ubaguzi wa rangi peleka kwa ufuaji wa nguo umeskia mbongo yeyote ameandamana? Alaafu kwa taarifa yako hao wote ni raia wa Tanzania 🙂
 
Upuzi gani jamaa? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Ndio hawa matajiri Wa bongo
1. Mo Dewji
2. Rostam Aziz
3. Said Bakhresa
4. Ally Awadh
5. Shekhar Kanabar
6. Shubash Patel
7. Hussein Rashid
8. Yusuf Manji
9. Salim Turkey
10. Ghalib Mohamed

Yani hamna Mwafrika mweusi hata mmoja.
Endeleeni na ukabila wenu muone Kama uchaguzi unaokuja hakutofanyika "Genocide" Kama ya Rwanda, ninyi ni watu "primitive", you see everything though lenses of tribalism, stupid.
 
Endeleeni na ukabila wenu muone Kama uchaguzi unaokuja hakutofanyika "Genocide" Kama ya Rwanda, ninyi ni watu "primitive", you see everything though lenses of tribalism, stupid.
Genocide ilifanyika kisa kabila moja lililo na watu wachache lina mali kuliko kabila lingine lililo na wengi. The same thing happening in Tanzania now. In fact it is worse - Wahindi na waarabu hawafiki hata elfu mia moja yet wameshikilia Uchumu wa jiinchi lenye watu milioni sitini.
 
Back
Top Bottom