NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,016
- 19,189
Swali la ajabu sababu jibu unalijua na hulipendi? 🤣 🤣We jamaa Una maswali ya ajabu Sana!
Ungekua umebaatika kufika hata Tanzania tunge debate you don't have any idea of what you are talking about 🙂
Nani kakwambia sijafika Tanzania? Tanzania nimefika, biashara kubwa hazimo mikononi mwa Mwafrika mweusi.