Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua hawa wakenya ni wapuuzi sana wanajisahau, wanatupigia kelele eti Ooh uchumi wetu upo kwenye mikono ya waarabu na wahindi, kwamba watanzania weusi si chochote.. sasa swali la kujiuliza Kati ya kenya na Tanzania ni wapi ambapo foreigners wamepatawala.? Hata most of the buildings in their CBDs ar owned to neither black kenyans nor GoK.. hata ukiona real estate developers wa kishua sio kenyans, hata kwenye apartments zenye wanaishi wadosi most of them ni whites.. ni ajabu kuona wakenya wanatubeza kisa waarabu na wahindi ambao ni tanzanians by birth.. hivi nyie kenyans mñafikiri bila foreigners kujenga Kenya mnadhani hata hii battle ingekuepo.? You ar nothing without foreigners.. Inabidi mtuheshimu sana nyie kenge.. naongea na wewe NairobiWalker
Tofauti yangu Na wewe nimesema ukweli, unarudia uongo was kujiliwaza.
 
Wale wanokuwa identified na kupigwa picha kama walewezi huwa wanapigwa bomba. kwa nini nyinyi msifanye hivyo?
Mlisema wako huko kisa kutoroka njaa Kenya. Anayetoroka njaa atakuwaje na kibali cha kuishi nchi isiyo yake?
 
We unafikiria huku ni kama kwenu ,eti parklands, south c na pangani wanakaa watu Fulani 🙄
Kwanza Mimi jirani yangu ni mu Asia wote tuna nunua bizaa kwa mange,wote tuna tunatumia daladala na yeye anafua na kuanika tunapo Anika! Nakuambia ubaguzi tuliwaachia nyie wakunya 🙂

Utalia utakavyo Ila inajulikana Tanzania makazi mengi high class ni ya Wahindi Na Waarabu. Benki zenu zenyewe hamna ya Mtanzania mweusi.
 
Simba out of CAFCL (off to CAFCC playoffs)
Azam out of CAFCC
Biashara out of CAFCC (not officially thou)
Yanga out of CAFCL
Tanzania football in the mud

Tumetolewa kizembe kwelii aisee sijui mtaani tutaishije huku
 
Na msimamo wangu dhidi ya Magufuli upo palepale!

We jamaa bwana, eti msimamo
IMG_4857.jpg
 
Back
Top Bottom