Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

WB report 2021
1.Nigeria GDP $600b
2.SA gdp $450b
Nigeria is 9+times rich than Tz with gdp of $65b
Our northern neighbour gdp is $106b that is the gap of $41b which is same as Uganda gdp of $40b...Tz we should work hard to improve our economy, Nigeria economy outsmart all of us ,Nigeria might hit a trillion dollar gdp before 2030 a big reason to worry
Mmmmmh
 
Wadau huu mjadala umekolea sana, upo very ironically, umenirudisha nyumba kabisaaaa. Nitasamarize kidigo

Kulikuwepo na great roman empire ikafall, akaja napoleon wa ufaransa, akaja metternich wa austria akaanza kuanguka miaka 1840's, wakainuka wakina bismark as coachmen of eropean miaka 1870s wakaja wakina mussolini and hitler miaka miaka 1920s tukashuudia kuibuka kwa marekan na urusi under V.lenin mwanzoni mwa miaka 1918 na kushika kasi miaka ya 1940s but nowdays tunamuona mchanise akipita njia zilezile.........

Sura na mtililiko huo umenifanya niangalie kwa jicho la tatu na kufikiri nje ya boksi, kulikoibua swali fikirishi......" The rise of Tanzania as EA superpower"

Hiyo ni historical trend tu ya kwamba "nothing last forever", nitaweka material evidences siku nyingine Mungu akijaria

Jumapili njeema

Shusha nondo izo mzee watu wakimbie humu
 
Eti watu wa nchi hii wanajaribu kulinganisha nchi yao mbovu
2937990_2-images-9.jpg

Na hii hapa
2842767_1626269175691.png
 
Kama wanaojiweza hapo kwenu ni Wahindi Na waarabu pekee Huo sii ukabila?
Unajidanganya kweli kweli wewe, idadi ya ngozi nyeupe huku kwetu ni ndogo sana, katika kila residential area ngozi nyeupe ni chache mno unlike huko kwenu karibu kila kitu kinamilikiwa na foreigners siku hiz wameanza kumiliki mpaka barabara zenu .. hao wahindi na waarabu ndio wapo kwenye top list lakini watu weusi ni wengi Sanaa wenye mitonyo yao
 
Back
Top Bottom