Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

msimu huu kuna timu nyingi kubwakubwa zitaanguka pua.. hao wageni (underdogs) wana maajabu sana saiz.. Simba huyu mbotswana kapewa uwepes bas tu.. ila kwengine vigogo wanahaha.. subir wiki ijayo uone shows za kibabe zitakavyopigwa

dah kweli nina bahat kuona mambo mbele
-jana As Vita katolewa kbsa CAFCC na underdog Marumo Gallants FC
-leo TP Mazembe nae katolewa CAFCL na underdog AmaZulu, ila ataenda CAFCC playoffs
-Zanaco nao wametolewa CAFCL, ila ataenda CAFCC playoffs

bado mechi nyingine zinaendelea
 
Hii sakata la Biashara United ujinga mtupu.

sikiliza hii boss,

kama maelezo ya huyu mwenyekiti wa Biashara United ni kweli, bas wamefanyiwa hujuma
-wamekata ticket ya kwenda huko, lkn ndege ya kwenda huko ika cancel flight sababu za ‘kiusalama’
-wakaopt kutumia shuttered flight ya ATCL jana ijumaa wamekosa vibali.. sijaona uzembe wao kwa kweli, tusubir uamuzi wa CAF
 
IMG_1601.jpg

Mikocheni Dsm
 
Sioni kama kuna taifa linaweza fika standard za China ..umewahi kujua kuhusu huu mji.? 👇.

what is it with these YouTube videos and the artificial voices coupled with generic drone videos?!

YouTube needs to ban these empty videos that are being shared as some sort of infotainment when in reality they're garbage
 
Wakenya wametapakaa nchi zote za Africa Kama ilivyo wahabeshi wa Ethiopia, tatizo ni ukabila, unemployment, njaa, insecurity na kukata tamaa
Wametapakaa kwa ajili ya kujituma, sio eti kwao kubaya. KCB iko in the process ya kununua Bank fulani huko Tz, inamaanisha kuna wakenya kadhaa watakuja kuendesha branches za hiyo bank huko - hiyo ni kujituma, sii kukosa. Kama vile Wachina, Walebanese na Wazungu walivyotapakaa Afrika - sio eti kwao hakuna - ni kujituma wamejituma.
 
joto la jiwe sikiliza hii mbuzi 🤣🤣🤣🤣
 
Wametapakaa kwa ajili ya kujituma, sio eti kwao kubaya. KCB iko in the process ya kununua Bank fulani huko Tz, inamaanisha kuna wakenya kadhaa watakuja kuendesha branches za hiyo bank huko - hiyo ni kujituma, sii kukosa. Kama vile Wachina, Walebanese na Wazungu walivyotapakaa Afrika - sio eti kwao hakuna - ni kujituma wamejituma.
Kujituma vipi wakati hata chakula ni shida?
 
Back
Top Bottom