Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wametapakaa kwa ajili ya kujituma, sio eti kwao kubaya. KCB iko in the process ya kununua Bank fulani huko Tz, inamaanisha kuna wakenya kadhaa watakuja kuendesha branches za hiyo bank huko - hiyo ni kujituma, sii kukosa. Kama vile Wachina, Walebanese na Wazungu walivyotapakaa Afrika - sio eti kwao hakuna - ni kujituma wamejituma.
siku zote shida ndiyo inayomfanya mtu atape tape na kutafuta pakutokea
 
Wametapakaa kwa ajili ya kujituma, sio eti kwao kubaya. KCB iko in the process ya kununua Bank fulani huko Tz, inamaanisha kuna wakenya kadhaa watakuja kuendesha branches za hiyo bank huko - hiyo ni kujituma, sii kukosa. Kama vile Wachina, Walebanese na Wazungu walivyotapakaa Afrika - sio eti kwao hakuna - ni kujituma wamejituma.
Kwa nini wasijitume kupelaka maji na chakula Turkana na kuiboresha Kibera?
 
wasiojua hii.. morena hotel ni ya Shabiby yule mbunge na mmiliki wa mabus ya shabiby line
ipo nje ya msamvu bus terminal upande wa pili wa barabara
mara ya mwisho nilikuta wamejenga hio structure tu.. hio finishing.. rangi, vioo sivikuta .. now naona ipo completed
Ndo nimejua leo mkuu,kumbe jamaa ana hela si mchezo.
 
kunatofauti kubwa sana kati ya kusafiri na kulowea. Watanzania siyo walowezi.

Maziwa ya mama Tanzania matamu, wananchi wametosheka nchini kwao.
Hivi hawa ombaomba wamejaa huku ni walowezi ama watembezi? 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom