Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leta evidence hao waliouwawa walimtukania Jiwe mama yake!
Hakuna kiongozi aliongoza kutukanwa wazi wazi kama JPM cz alileta mabadiliko ya kweli hapa Tz yaliyowaumiza mafisadi na vibaraka wao, so JPM kutukaniwa mama ilikuwa ni kitu cha kawaida sn labda utake kukataa sahizi.

Btw nakuomba uwache huu ujinga mara moja, baki kwenye uchambuzi.
 
leta ushaidi hao walipotezwa roho walimtukania mama yake!
 
hivi unawezaje kumfananisha raisi akokaa miezi6 na raisi alokaa miaka 6?
hivi kwa akili ya kawaida ii kitu inawezekana?
mkakati uliopo ni kumuheshimisha maza mbele jamii 'legitimacy..sjui mnanielewa..?
ila niwaambieni kabisa: mngeweza kufanikiwa bila ya kumuhusisha uncle magu:
 
Hivi Coco pamekosa Mwekezaji wa kutransform hilo eneo kweli? Jiji wameshindwa kufanya?
Manji alitaka kuununua ufukwe wote huo, ili ajenge mahoteli ya kisasa, awamu ya tano ilimkatalia, kwasababu alitaka sehemu hiyo iwe private. Sheria zetu zinakataza hilo, kwa kuwa wananchi masikini (kwenye nchi yao) watakosa sehemu za kupumzikia na hii falsafa ni mawazo ya Nyerere aliyoyatoa mwaka 1956 kuhusu sheria za ardhi.
Still This is not right,
Pale panarakiwa kuwa modernized
Inaonekana kama ni temporary solution au kuna watu wamepiga pesa, unakumbuka ule mpango wa kujenga park, sambamba na ujenzi wa hiyo barabara (daraja), wakati wa Magu?
 
Mimi nilishawaambia achaneni na hii maneno maana hata aandike nini haziwezi badilisha chochote.

Kwanini mnaangaika kureply comments zake wakati hazibadilishi chochote!

Embu acheni hizi maneno.
 
Kila siku nawaambia hata hawaelewi wakati wakiendelea kujibizana hivi hawatokaa wafikie muafaka zaidi ya kuvuruga tu huu uzi.

Binafsi siwezi poteza muda wangu kubishana kisa JPM au SSH maana siwezi badilisha chochote na ninae bishana hawezi badilisha chochote.
 
Mm huwa sikatishiw maneno kwa mbele kaka...kwaiyo ulikuwa unamanisha kibera ndio jini linalo kumiza sanaaa mind you iyo sio slum peke mkonayo apo kunya land...so chill broo...subiri gither ikamilike
 
Ivi unawezaj kuongelea Dar ikiwa hiki ndio kinairobary?...zaidi ya msitu mzito akuna majengo kabisaa
compare to kijito nyama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…