Forget about Nairobi's Kenyatta teaching hospital, these are Kenya's county referral hospitals

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,219
79,506
Taita Taveta referral county hospital

ob_545b37_moi-hospital.jpg


CuIKyN7-dNV9XTutduLdiRlafhwGplTGp376ylzWYrRc1mj0qIzkQXZLZ_9pHUvLKrVPLEAPoTgjGPTCanoh2hdqsPvi


moi.jpg


Hawa hu-cross border kuja Kilimanjaro kutibiwa! sishangai kama referral hospitals zipo hivi Kenya! In Tanzania referral hospitals are well respected!
 
Huku Tanzania, Hospitali zetu za Wilaya ni nzuri kuliko hiyo Oginga Odinga Hospital. Hawa Wakenya wana matatizo ya akili, Mara "Malindi International Airport", Mara Isiolo International Airport", sasa hizo hospital wanazosema ni Referral, hazifai hata kuwa district Hospitals.
 
Huku Tanzania, Hospitali zetu za Wilaya ni nzuri kuliko hiyo Oginga Odinga Hospital. Hawa wakenya wana matatizo ya akili, Mara "Malindi International Airport", Mara Isiolo International Airport", sasa hizo hospital wanazosema ni Referral, hazifai hata kuwa district Hospitals
Exactly angalia hospitali ya mfano ya wilaya ya Ilolo





nje ya Nairobi huduma za afya ni majanga! Halafu ujue hospitali nilizoweka hapa sijajumuisha zile za taasisi za kidini ama binafsi! Kenya hata zile za binafsi state of the art zipo mainly Nairobi! Muacheni JPM jamani ashukuriwe anachofanya district hospitals zaidi ya 80 (67+ phase II) si kitu cha mzaha hata kidogo!

Mbali ya hayo kuna several pharmaceutical plants coming up!

images


 
Kwenye sector ya Afya, kusini mwa Sahara ni Afrika kusini pekee ndio wanatuzidi, tena kwa mijini walikokua wanaishi wazungu, lakini vijijini kwa waafrica weusi, tunawazidi kwa mbali sana, wazungu hawakujenga Hospitali za maana vijijini
angalia ufuatiliaji, hospitali hii ya wilaya kule Kenya ni county referral hospital!

 
TUESDAY JUNE 25 2019



Kwa ufupi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo amesema kuwa bajeti ya mwaka 2019/2020 ya Sh33.1 trilioni inakwenda kutekeleza ujenzi na kuwagusa Watanzania. Bajeti hiyo imepitishwa na Bunge la Tanzania



By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz
Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo amesema bajeti ya mwaka 2019/2020 ya Sh33.1 trilioni ni ya watu kwa sababu inakwenda kutekeleza miradi ya miundombinu.

Jafo amesema leo Jumanne Juni 25, 2019 wakati akijibu hoja za wabunge walizotoa katika mapendekezo ya bajeti ya Serikali ya 2019/2020 ya Sh33.1 trilioni ambayo tayari imepitishwa na Bunge la Tanzania.

Jafo amesema fedha zilizotengwa kwa ajili ya Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura) kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ni Sh284.7 bilioni na kwamba kwa imani yao watafanya mabadiliko makubwa.

Amesema pia Mfuko wa Barabara unaangalia mgawanyo wa fedha wa asilimia 30 kwa 70 lengo likiwa ni kuhudumia barabara zilizopo chini ya Tarura nchini.

Kwa upande wa afya, Jafo amesema ukiachia mbali ujenzi wa vituo vya afya 352 mwaka huu wa fedha 2019/2020 wanajenga vituo vya afya 52 na kuendelea na ujenzi wa hospitali 67 na wana ujenzi wa hospitali mpya 27.

“Kwa hiyo utaona katika mpango wa miaka miwili ni hospitali 94 ni outstanding performance kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania ambalo hili tunakila namna ya kujifunza kama tangu uhuru tulikuwa na hospitali 77 pekee yake ,”amesema.


 
Exactly angalia hospitali ya mfano ya wilaya ya Ilolo





nje ya Nairobi huduma za afya ni majanga! Halafu ujue hospitali nilizoweka hapa sijajumuisha zile za taasisi za kidini! Kenya hata zile za binafsi state of the art zipo mainly Nairobi! Muacheni JPM jamani ashukuriwe anachofanya district hospitals zaidi ya 80 (67+ phase II) si kitu cha mzaha hata kidogo!

Mbali ya hayo kuna several pharmaceutical plants coming up!


Za dini zinakimbiza balaa kutana na st gaspa Itigi na consolata Ikonda zinakimbiza kama Agha khan ya Dar na zipo vijijin
 
Za dini zinakimbiza balaa kutana na st gaspa Itigi na consolata Ikonda zinakimbiza kama Agha khan ya Dar na zipo vijijin
South Africa na Tanzania, ni nchi pekee kusini mwa Sahara ambazo 90% ya wananchi wake hutibiwa ndani ya nchi, na hupokea na kutibu wagonjwa toka nchi zingine za Afrika.

Wakenya viongozi na matajiri wote hutibiwa nje ya nchi, 90% ya wagonjwa wa MOYO na saratani Kenya hupelekwa India.
 
Adm should deal with these Danganyikan warthogs once and for all
Pata picha Umeugua ghafla upo mashambani unachukua mtungi wa chang'aa mpaka Voi terminus unakutana na kituo hiki! unapata ma-hope!
47998778582_b4481d28f8_b.jpg


Ghafla Nje ya kituo unakutana na tope hili!



Unajipiga moyo konde then unafika hospitali ya Voi county referral hospital unakutana na hii kitu!

CuIKyN7-dNV9XTutduLdiRlafhwGplTGp376ylzWYrRc1mj0qIzkQXZLZ_9pHUvLKrVPLEAPoTgjGPTCanoh2hdqsPvi


Baba Ni kukufa! unampokea Israili mtoa roho! Wakenya husema bora "ungeachwa ukufie hom" au ungekatalia kutoka Voi terminus!
 
Pata picha Umeugua ghafla upo mashambani unachukua mtungi wa changaa mpaka voi unakutana na kituo hiki

47998778582_b4481d28f8_b.jpg


Nje ya kituo unakutana na tope hili



Unajipa moyo konde then unafika hospitali Voi county referral hospital unakutana na hii kitu!

CuIKyN7-dNV9XTutduLdiRlafhwGplTGp376ylzWYrRc1mj0qIzkQXZLZ_9pHUvLKrVPLEAPoTgjGPTCanoh2hdqsPvi


Baba Ni umekufa! unamokea Israili mtoa roho! Wakenya husema bora "ungeashwa ukufie hom"!


Tutupie pia ya Shinyanga mzee.
 
Back
Top Bottom