Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Caf ratiba zao uwa zuna upendeleo flan,timu inakuaje timu zote toka egypty zinaanzia away!jamaa wapo corrupted pambavu

msilalamike wakuu.. jueni kwanza mambo yalivyo
hio ni seeded (high ranked) vs unseeded (low ranked)
unseeded huwa zinaanza home.. angalia hata ya simba yupo ugenin
cc [mention]The best 007 [/mention]

pia mfano Tanzania tukifuzu playoffs ya WC qualifiers, tutawekwa kundi la Unseeded (bottom 5).. tutapewa mkubwa mmoja ambae atakuwa kundi la Seeded (top 5) kwa njia ya draw
 










MY TAKE
Sikujua International school of Moshi ina mahusiano na KCMC, yaani ilianzishwa na foundation moja! Na sikujua KCMUCo ina chuo cha Pharmacy! Hongera zao maana hamna kitu kigumu (capital intensive) kama kuanzisha shule ya famasia!
 
Dar es Salaam
mydaressalaam_1634372781975530.jpg
 
Usije ukajidanganya we mbweha, bidhaa zenu za maziwa zilizopo uku labda ni milk powder pekee, Ila kuhusu bidhaa zote za maziwa hamjawahi kutuweza, kuna viwanda vya kutosha na vinafanya vizuri AE nzima na havina mpinzani, kama unabisha tueke hili battle
unataka umvunje kabisa mkuu,,

hao wamekariri maisha ya zamani
 
Pumbavu wewe, kule huwa tuna debate kistaarabu, hii section ya Kenyan news mliiharibu nyie wakunya kwa majibu yenu ya kipuuzi na kupenda sifa msizokuwa nazo na ndiyo maana na cc tukaona twende vile mlivyo.
what are you really trying to justify??that jamiiforums imejaa watu wenye low IQ kama wewe?
 
JamiiForums1424198126.jpg
 

Attachments

  • tapatalk_1633661985160.jpg
    tapatalk_1633661985160.jpg
    83.2 KB · Views: 8
  • tapatalk_1633662068240.jpg
    tapatalk_1633662068240.jpg
    87.8 KB · Views: 12
Back
Top Bottom