Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imperative thinking (programming) huwa inafundishwa kwenye Advanced applied math II (kinadharia).

Unakumbuka kwenye kutengeneza complex proposition (truth table)? Tulifundishwa algorithms pamoja na if statements zake wakati wa kuchora flow diagrams.

Ila inabidi wafundishe programming yenyewe maana wanawachelewesha vijana, kujiandaa na dunia ya 4th industrial revolution.
 
Mkuu we ndio mtalaamu wa uchumi na hio suggestion yako . Pamoja na ukinzani wote uliokuwepo viongozi wa Tanzania hawawezi kuwaacha mkipata matatizo hata mtanzania wa kawaida hawezi kua jealous kiasi chako. Mkuu nyi mna GDP kubwa mnaogopa nini tena?
 
Si huwa mnasema Gdp yetu ni ya makaratasi sasa mbona unasema Gdp yetu ni kubwa?
 
Mkuu we ndio mtalaamu wa uchumi na hio suggestion yako . Pamoja na ukinzani wote uliokuwepo viongozi wa Tanzania hawawezi kuwaacha mkipata matatizo hata mtanzania wa kawaida hawezi kua jealous kiasi chako. Mkuu nyi mna GDP kubwa mnaogopa nini tena?
Tatizo ni kuwa agriculture sector yenu ni kubwa na inazidi kuwa kubwa so tukiwaachia tu mlete vyakula vyenu huku jinsi mnavyotaka mnaweza kuumaliza kabisa agriculture sector yetu. Nyie huwa mnasahau kwamba Kenya sisi pia tuna wakulima wetu na lazima tuwalinde. Tunastahili kuimport surplus food pekee. Yaani pale ambapo wakulima wetu wameshindwa kuzalisha sasa ndio tunastahili kuimport ili kuziba hilo mwanya. Lakini tukifungua mipaka wazi eti kila Mtanzania anayetaka kuleta hata gunia mbili za mahindi analeta tu basi wakulima wetu wadogo wadogo wataumia sana. Tukiwa na upungufu wa mahindi ndio tunastahili kununua kutoka kwenu. Kuna misimu za kuvuna mahindi hapa Kenya na wakati huo wakulima wa Kenya wanastahili kupata soko bila tatizo. Ila kuna misimu ambapo Kenya huwa hatuna mahindi kabisa so hapo ndio mnastahili kujazana na kuleta mizigo huku.
 
Kusema ukweli watanzania wako spoiled sana na usafiri wa umma, wananata na kuringa sana kuchagua nini wapande. Amini usiamini, mabasi ya bongo ni mazuri sana kuliko hata mabasi ya kibeberu ya Greyhound.
 
Pilots mtatowa wapi nyie malazy au mnadhani kutrain pilots ni kama kutrain watu wa kuosha choo? Kutrain pilots kunachukua miaka kadhaa na ni gharama kubwa ajabu.
Nini pilots sisi mpaka tunawahandisi wanaosanifu (design) hizo ndege.
Uhuru hana jeuri ya kufanya hivyo sasa, yeye alikuwa ni remoti tuu, waliokuwa wakimtuma sasa hivi tuko nao dam dam.
 
Uchumi na biashara unaendeshwa na market forces wala sio protectionism hayo ni mambo ya kizamani na yanarudisha nyuma EA integration.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…