The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Mkuu we ngoja EACOP ianze utekelezaji, watasimulia tu we ngojaStaili yako ya KataFunua wakunyaland nimeipenda







Mkuu we ngoja EACOP ianze utekelezaji, watasimulia tu we ngojaStaili yako ya KataFunua wakunyaland nimeipenda







Ingekuwa hivi Ingependeza sanabahati yao kuna kaspace wameachiwa.. thou somalia didn’t fully get what they fought for and kenya took something less than what they wanted before
View attachment 1972418


EverydayNjaa ulikuja lini ukakosa vyakula kenya vimeisha
Kumbe wewe ni hater wa Kenya?
Below are the most polluted cities in the world in 2021, ukiikuta Dar nitag, najua pia hata wewe utashangaa kwnn Nairobi haipo






smartairfilters.com
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Samahani kwa hivyo unapinga madai ya Forbes kwamba Dar city is one of the most polluted cities in the world?Below are the most polluted cities in the world in 2021, ukiikuta Dar nitag, najua pia hata wewe utashangaa kwnn Nairobi haipo
Top 25 Cities with Worst Air Quality (2025 AQI Rankings) – Smart Air
smartairfilters.com
Kwangu mimi na naamini hata kwa watanzania wengi siwezi kusema Magufuli ni bora kuliko Nyerere. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa anajaribu kumuishi Nyerere na alikuwa ni mfuasi wa sera za mwalimu za maendeleo. Nyerere na wenzake wa wakati huo wameipambania sana nchi hii (na hata afrika) kuanzia struggle for indipendence hadi kuijenga nchi kijamii/kiutamaduni, kisiasa na kimaendeleo kwa ujumla. Itoshe tu kusema Magufuli alikuwa sub set ya Nyerere katika baadhi ya mambo aliyoyasimamia.Mzee wa watu kajitoa sadaka kwa ajili ya Tz yake lkn matokeo tumeyaona, mm nina mpango wa kuwa naweka picha za mashujaa wa Tanzania wa kwanza Nyerere picha yake ya kuchora haitakosa nyumbani kwangu mwengine Magu, ckuwahi kufikiri kama atatokea kiongozi wa kumzidi Nyerere Tz hii lkn katokea, ofcz nampenda sana Nyerere na namuishi ila kwa Magu anasubiri piga ua, anaanza Magu zen anafata the Great Nyerere habari ndio hiyo japo inaniuma kuukubali ukweli huu lkn hakuna jinsi, kila nikifikiria naona kabisa mzee baba anasubiri kwa uncle.
Thnx.Kwangu mimi na naamini hata kwa watanzania wengi siwezi kusema Magufuli ni bora kuliko Nyerere. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa anajaribu kumuishi Nyerere na alikuwa ni mfuasi wa sera za mwalimu za maendeleo. Nyerere na wenzake wa wakati huo wameipambania sana nchi hii (na hata afrika) kuanzia struggle for indipendence hadi kuijenga nchi kijamii/kiutamaduni, kisiasa na kimaendeleo kwa ujumla. Itoshe tu kusema Magufuli alikuwa sub set ya Nyerere katika baadhi ya mambo aliyoyasimamia.
Weka ushahidi unaoonesha Dar ni one among the most polluted cities in the world, yn iwepo Dar alafu Nairobi isiwepo wewe utakuwa mgonjwa wewe, kwa taka gani zilizo Dar, weka ushahidi mmoja tu alafu mm nitakuwekea shahidi zaidi ya 10 zikionesha Nairobi ni one of the most polluted and one among the most dangerous cities in the world.Samahani kwa hivyo unapinga madai ya Forbes kwamba Dar city is one of the most polluted cities in the world?
Mimi niweke ushahidi kwani madai ni yangu?Weka ushahidi unaoonesha Dar ni one among the most polluted cities in the world, yn iwepo Dar alafu Nairobi isiwepo wewe utakuwa mgonjwa wewe, kwa taka gani zilizo Dar, weka ushahidi mmoja tu alafu mm nitakuwekea shahidi zaidi ya 10 zikionesha Nairobi ni one of the most polluted and one among the most dangerous cities in the world.
Ila bongo raha sana cheki maneno 👇. Hizo behewa za MGR kalii mnoo alafu safii
Mimi niweke ushahidi kwani madai ni yangu?