Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya picha mpya hii hapa kaleta Bwana Sama boy 255 zikiletwa takwimu za fukwe zenye kuvutia Africa msije kusema hatukuwaambia

Courtesy: Sama boy 255

JamiiForums-1918571675.jpg
 
View attachment 1971188View attachment 1971189mchongo umeshamalizika, tabaka la pili la lami limeshawekwa, bado kuchorwa tu, huenda mwisho wa mwezi wa kumi na moja au Mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili, huu mchongo utakua active.. Kenyans stay tuned mana mtajua hamjui
Hahaha Hao wakunya weliweka hivyo vi pavements nairobi walipiga kelele sana humu na vipicha..

Sasa hapo naona ni barabara yote iko paved na pedestrian friendly. Kazi nzuri.
 
Corona killed magufuli after alisema corona does not exist. It killed him
Screenshot_20211011-185705.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20211011-185705.jpg
    Screenshot_20211011-185705.jpg
    39.5 KB · Views: 8
Back
Top Bottom