The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Huwa inanishangaza sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kigoma Hata Uwe Wapi Bado Ni Mbali Tu[emoji23][emoji23][emoji23] https://t.co/DKDmn4eEsd
Huwa inanishangaza sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kigoma Hata Uwe Wapi Bado Ni Mbali Tu[emoji23][emoji23][emoji23] https://t.co/DKDmn4eEsd
Ss hyo picha ya jamaa ungeigeuza mkuu tuzidi kucheka, aliyovaa miwani ingekaa juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]imebid niedit[emoji23][emoji23]View attachment 1970791
Kunyaland ya 200[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa panahitaji daraja kubwa na la kisasa, huo mto unaonekana ni mkubwa, ofcz hapo Tarura bado wamechekesha.
Hakuna aliyekubaliana na huyo mbwa sema huwa tunamuona kama chizi humu.Just to give you all information about Samia’s presidency tenure, is that the current one is her first phase (2021-2025), and the second and last phase, if she will vie for, constitutionally will be 2025-2030 only. Naona kama mnakubaliana na huyu boya kuhusu 2030-2035
Hii battle ya engineering nayo tushaimaliza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji102]
Hahaha, mtu huwezi ukatoka Form 4 alafu uwe Engineer.. Kenya wanamatatizoHii battle ya engineering nayo tushaimaliza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanza airport tunawajengea sisiSteel ndio engineer?
Nshamjibu kitambo, au na wewe huamini km mwanza airport tunajenga wakenyaAkikujibu ni tag na Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna hela imeingia kw serakali[emoji1787][emoji1787]
Kumbe magu kajenga maghofu tu[emoji1787][emoji1787]We are going to witness a rapid boost on social services which is crucial to the real development ..inayogusa wanachi wengi kwa Mpigo...Magu Alianzisha kwa majengo..the equipments are now following ..plus majengo mengine mengi kama EMDs na ICU
Form4 wa kenya akija tz anaingia direct chuo[emoji1787][emoji1787]Hahaha, mtu huwezi ukatoka Form 4 alafu uwe Engineer.. Kenya wanamatatizo
Kwahiyo huwa wanaanza kuweka vifaa kabla ya majengo, hii elimu mnayosona huko kwenu inapaswa kuchunguzwaKumbe magu kajenga maghofu tu[emoji1787][emoji1787]
Geza Ulole tulikwambia sana wakati ule km nyie mnajenga maghofu lkn ukabisha sana, umeona sasa mumeumbuka...
Kumbe hata hela yenywe mlikua hamna
Unajiita engineer kumbe zoba tu, sasa pathholes na engineering zinaingilianaje[emoji102]
Unajiita engineer kumbe zoba tu, sasa pathholes na engineering zinaingilianaje
Umesema eti kampuni inaitwa aje?😹😹😹😹😹😹😹😹😹Nshamjibu kitambo, au na wewe huamini km mwanza airport tunajenga wakenya
Hakuna kabila linalolengwa hapo, hiyo ni inferiority complex aliyonayo mama ambayo anaitoa kwenye mitandao kwamba anapendelea wazanzibari. Kuna baadhi ya mambo ya kwenye mitandao aachane nayo.
MY TAKE
Najiuliza huu ujumbe unawalenga watu wa kabila lipi ambao wamefanya makosa halafu wakatolewa wakaamua kucheza kadi ya ukabila?
Tunawajengea airport[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umesema eti kampuni inaitwa aje?[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]