The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Nahisi sahizi utakuwa unachezea maiki wewe co bure.Km nyie mnampiga vita, yani aachane nayo ila nyie sukuma gang muendelee sio
Nahisi sahizi utakuwa unachezea maiki wewe co bure.Km nyie mnampiga vita, yani aachane nayo ila nyie sukuma gang muendelee sio
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti Roads na Engineering ni vitu viwili tofauti, umelewa au upo kwenye mpini sahizi.
Bado unateseka mzee[emoji1787][emoji1787]Jamaa kazidiwa kaamua kuachie matusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimesema nimpotezee Tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapi nimesema roads mzee, umeshachanganyikiwa tayari..Eti Roads na Engineering ni vitu viwili tofauti, umelewa au upo kwenye mpini sahizi.
Acheni watu wa visiwani watambe bana, mbona roho ziwaume na wakati mnawatafuna miaka yote hyo..Nahisi sahizi utakuwa unachezea maiki wewe co bure.
Bwhaha!!professor wa kenya ni level nyingine kabisa mzee, ukiskia mtu anaitwa professor kenya mkalie pembeni manake atakupiga vitu vizito ukaugulie mbele..Taja kiongozi wa Kenya ambaye hana elimu ukitoa Kenyatta snr. Yani wewe ni fala mno, eti unajaribu kuitenga elimu na maisha hivi ni fala wa wapi wewe, do you really know the meaning of Education? Eti unaongea kabisa ukikutana na profesa wa Kenya anaongea mpk unasikia raha, kwahiyo ambao hawaongei ila wanatenda sio wasomi!? Nyie wakenya labda masomo ya Arts tu angalau kidogo mnaweza kushindana na cc na ndiyo maana ukasema profesa wa Kenya ansongea sn ni nature ya elimu mliyochagua 99% (Arts)
Hakuna maana yoyote ya kuendelea kuku quote na hizi pumba unazoziwasilisha.Wapi nimesema roads mzee, umeshachanganyikiwa tayari..
Alafu elimu yenu mbovu sana aisee, viwango na engineering ni vitu viwili tofauti sana
Profesa anayetoka form anaingia chuo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]Bwhaha!!professor wa kenya ni level nyingine kabisa mzee, ukiskia mtu anaitwa professor kenya mkalie pembeni manake atakupiga vitu vizito ukaugulie mbele..
Kw mfano kamsikilize gavana nyongo kule kule kisumu alafu ukamlinganishe ba kabudi mtoa mimacho alafu urudi hapa
Mimi nimeona ni jambo zuri ku-state clear kwamba kampeni yake si ya Kikabila!
Umekimbia mada[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Profesa anayetoka form anaingia chuo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]
Yani kusema wewe mzanzibar basi ndio umekosea[emoji1787][emoji1787]![]()
Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!" Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani. Samia umekosea sana! ==== Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana...www.jamiiforums.com
umeona post yangu kule? Isome!![]()
Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!" Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani. Samia umekosea sana! ==== Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana...www.jamiiforums.com
Point yangu ni kwamba leo kazingua, aachane na haya mambo, sasa anasema Zanzibar hakuna makabila zen anaanza kutaja wakojani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeona post yangu kule? Isome!
ila mbona namuona akifanya digital marketing! Huyu alie-comment ajue pia core business model ya JF pia ni more of social interraction platform cum media freedom NGO, sasa huwezijua sheria za serikali zinasemaje au donors/backers wanaom-support hata kwenye yale matatizo yake yakesi kipindi cha JPM wataendelea kama akibadili core business policy yake? Kutunza data inahitaji secured servers ambazo gharama zake si za kitoto na navyojua mimi JF server zake zipo Ujerumani! Na sababu ilikuwa kuhepa privacy infringment ya GoT kwa users kama mnakumbuka swala la uhalali wa .com domain ukilinganisha na GoT ilichokuwa ikilazimisha yaani .tz domain. Kiufupi haya yote yanakwamishwa na sera zetu mbovu za TCRA haswa kipindi cha JPM na hata sasa mabadiliko hayajafanyika!Mwamba kanyea Kambi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1971065
Plan ipi ndugu?Mimi sijakebehi mtu ila nimeeeleza hali halisi! Mbona mtu akitaja facilities za Chato kuhudumia kanda mnageuza maneno? Si ndo plan ilivyokuwa?