xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
wachaga!!
MY TAKE
Najiuliza huu ujumbe unawalenga watu wa kabila lipi ambao wamefanya makosa halafu wakatolewa wakaamua kucheza kadi ya ukabila?
wachaga!!
MY TAKE
Najiuliza huu ujumbe unawalenga watu wa kabila lipi ambao wamefanya makosa halafu wakatolewa wakaamua kucheza kadi ya ukabila?
Mbwa wewe leta evidence. Mnaanza kujipendekeza sasa baada ya kuona tunazidi kusonga mbele.Mwanza airport tunawajengea sisi
Sukuma gang lazima mnyookeHakuna kabila linalolengwa hapo, hiyo ni inferiority complex aliyonayo mama ambayo anaitoa kwenye mitandao kwamba anapendelea wazanzibari. Kuna baadhi ya mambo ya kwenye mitandao aachane nayo.
Road tu mnashindwa kujenga ndo mjenge Airpot.Tunawajengea airport
Waumwaeee kuskia hvo...
Mwanza airport tunawajengea sisi bana
Nasema hivi, mwanza airport tunawajengea sisi..we ukitaka kasirika uvimbe mpka upasuke kabisaMbwa wewe leta evidence. Mnaanza kujipendekeza sasa baada ya kuona tunazidi kusonga mbele.
Leta evidence.Nasema hivi, mwanza airport tunawajengea sisi..we ukitaka kasirika uvimbe mpka upasuke kabisa
Barbara low quality! engineers wenu unqualified!Unajiita engineer kumbe zoba tu, sasa pathholes na engineering zinaingilianaje
Ingia jukwaa la siasa halafu angalia wanaolialia na mabadiliko ya mama wanatokea kabila lipi?Hakuna kabila linalolengwa hapo, hiyo ni inferiority complex aliyonayo mama ambayo anaitoa kwenye mitandao kwamba anapendelea wazanzibari. Kuna baadhi ya mambo ya kwenye mitandao aachane nayo.
Na mbaya zaidi CBD na upper hill zimo ndani ya picha alaf mumejenga nn 🤣🤣🤣🤣🤣Sio eti naisema Eastleigh kwa maneno tuView attachment 1970727View attachment 1970728View attachment 1970729View attachment 1970730
Sasa aachane na mambo ya mitandao, kelele hazikosekani, haya mambo ya ukabila hapa nchni hayana nafasi na wala haijafika hatua ya kiongozi mkubwa kuyasema hadharani, kulalamika kupo ila mkuu anaposema vile ndiyo anapelekea kuyaamsha. Yeye apige kazi, kama ni mfuasi wa mitandao hamna Shida ila ya mitandao ayaache mitandaoni.Ingia jukwaa la siasa halafu angalia wanaolialia na mabadiliko ya mama wanatokea kabila lipi?
Honey, ukipata ushahidi Rudi😃 anyway umekula?Tunawajengea airport
Waumwaeee kuskia hvo...
Mwanza airport tunawajengea sisi bana
Evidence tunawajengea airport, we ukitaka chukua wino ufuteLeta evidence.
Mimi nimeona ni jambo zuri ku-state clear kwamba kampeni yake si ya Kikabila!Sasa aachane na mambo ya mitandao, kelele hazikosekani, haya mambo ya ukabila hapa nchni hayana nafasi na wala haijafika hatua ya kiongozi mkubwa kuyasema hadharani, kulalamika kupo ila mkuu anaposema vile ndiyo anapelekea kuyaamsha. Yeye apige kazi, kama ni mfuasi wa mitandao hamna Shida ila ya mitandao ayaache mitandaoni.
Barabara low quality na engineering ni vitu viwili tofauti mzeeBarbara low quality! engineers wenu unqualified!


Km nyie mnampiga vita, yani aachane nayo ila nyie sukuma gang muendelee sioSasa aachane na mambo ya mitandao, kelele hazikosekani, haya mambo ya ukabila hapa nchni hayana nafasi na wala haijafika hatua ya kiongozi mkubwa kuyasema hadharani, kulalamika kupo ila mkuu anaposema vile ndiyo anapelekea kuyaamsha. Yeye apige kazi, kama ni mfuasi wa mitandao hamna Shida ila ya mitandao ayaache mitandaoni.
Ukipata evidence nitag nifunge acc 🤣🤣🤣🤣Nasema hivi, mwanza airport tunawajengea sisi..we ukitaka kasirika uvimbe mpka upasuke kabisa
Anae angalia ubora na kupeana go ahead ni hawker?Barabara low quality na engineering ni vitu viwili tofauti mzee
Ndio manake nasema elimu yenu mbovu mzee, hata uwezo wa kufikiri pia hamna
Taja kiongozi wa Kenya ambaye hana elimu ukitoa Kenyatta snr. Yani wewe ni fala mno, eti unajaribu kuitenga elimu na maisha hivi ni fala wa wapi wewe, do you really know the meaning of Education? Eti unaongea kabisa ukikutana na profesa wa Kenya anaongea mpk unasikia raha, kwahiyo ambao hawaongei ila wanatenda sio wasomi!? Nyie wakenya labda masomo ya Arts tu angalau kidogo mnaweza kushindana na cc na ndiyo maana ukasema profesa wa Kenya ansongea sn ni nature ya elimu mliyochagua 99% (Arts)Umetema pumba sana mzee, elimu na uongozi wapi wapi..hvyo vyote ulivyotaja vinaendana na hulka ya watu au jamii, kiongozi bora haletwi na elimu mzee...
Kwhyo hizi tantarira peleka kwenu chato, uwezo wa elimu yetu ni mkubwa sana ndio manake 844 inatambulika kote duniani..
Elimu yenu mbovu, ndio manake kila kuchao kwenu vimbwanga sio viongozi sio wasomi nyote pumba...
Kenya huwezi kuta professor anatema pumba, kenya ukikutana na msomi kweli kweli kweli utapenda mzee kutoka ideas kila kitu jamaa anakujenga mpka unaskia raha...ila tz msomi bado unamkuta anachamba watu insta
Eti Roads na Engineering ni vitu viwili tofauti, umelewa au upo kwenye mpini sahizi.Barabara low quality na engineering ni vitu viwili tofauti mzee
Ndio manake nasema elimu yenu mbovu mzee, hata uwezo wa kufikiri pia hamna