Una hamisha goli sio? Uwezi kujisifia kuwa deni la ndani ni kubwa kuliko la nje wakati mnakopa ndani ili mlipe nje.
Post yangu inasema mnakopa ndani kulipa madeni ya nje, kama umesoma hiyo link nilikuwa nime post, usinge jibu huu tumbo, maana wameelezea vizuri kabisa kwanini ni mbaya kukopa ndani kulipa deni la nje.
Kwa kukusaidia tu, 1. wapo ni hela nyingi inayopotea kwa exchange rate. Mnakopa nje in US, unakuja kukupa ndani in Ksh then Convert it to US kulipa nje. Huo ni ujinga.
2. Unatoa hela kwa kukopa ndani ya nchi na kupela/kulipa nje ya nchi. Seriously, how do even begin to justify something like that???
Acha kukurupuka. Soma, Tafakari ndiyo unijibu.