dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
kunayo mwenye aliwahi sema eti hapa ni Dodoma. is it true waTz!? 😆😆
kunayo mwenye aliwahi sema eti hapa ni Dom. is it true waTz!? View attachment 1969106
Barabara yenyewe haina service lanes. Shoddy engineering haitaspur growth along the road bila service lanes. Alafu mbona 16km away from dar kunakaa ushago ivo?wadau, eti hiki kilaza hapa ichoyo, ana try ku compare hii inefficiency na thika superhighway!.. hio vita wacha niwachie NewMembers wachangamke pia nawao
Kwanini wasingesubir mwaka 2045 wakipata hiyo pesa ya kujenga huu mradi ndio wajenge.? Kwasababu ndio ingekua ni kipindi ambacho huu mradi ungewaletea faida zaidi since utakua ni government owned... Sasahiv huu mradi utawaumiza wananchi wao na kumfaidisha mchina tu.. au kasi ya utendaji wa magufuli ndio ilimfanya KENYATTA afanye maamuzi ya hovyo Ili kusudi watu wake waone they still stronger than us.?Munaelekea nyinyi au anaelekea mchina kumaliza na kuweka toll zake pale 🤣🤣🤣 uhehehe ndivo kenyataa alivowadanganya nyinyi kwamba ni ppp kwa mlango wa nyuma
Pain iko pale kwenye toll za mchina kwa miaka 30 na mbaya zaidi nimeskia kuna amount imeongezeka 7b ksh sijui atamilikia over 40 yrs 🤣🤣😇😇
Usongee vitu usivyovijua service lanes zipo, zipo interchange, zipo overpassBarabara yenyewe haina service lanes. Shoddy engineering haitaspur growth along the road bila service lanes. Alafu mbona 16km away from dar kunakaa ushago ivo?
kuna nin hio kesho
Ziko kwa hewa ama. Hizo picha mmetuma sizioni. Service roads zinafaa kua kila mahali kwa highway inayokatiza mjini.Usongee vitu usivyovijua service lanes zipo, zipo interchange, zipo overpass
Wewe na huyu nani mjuzi zaidi🤣🤣🤣🤣
Ngoja nikupe shule kidogo operates and own are two different words with different meaning. KQ yes used to operate 40 aircrafts but now less than that out of those only 3 are directly owned by KQ.Unless hujui the word "operate". KQ operates 40 aircrafts.
Nimegundua kitu kimoja hawa majirani humu wengi wao elimu duni mawazo yao ya kijua kali sana ni wachache I can count 2 or 3 ambao wanaona vitu in their perspective.kampuni ya India inayotengeneza magari ya TATA imepewa bid ya ku’operate’ Air India, lkn hatamiliki ndege hata moja ya Air India.. same to your KQ.. kuoperate 40 aircrafts sio kwamba zinamiliki zote
Duuuuh! Wewe jamaa hapo umeandika kiswahili au kilingara
Hapo wanafikiria sana sijui wangoe reli watandike upya ya uzito wa axle 35tons pia wafanye iwe continuous welded na kuweka electric infrastructure lakini common sense inakataa mkopo haujalipwa bado na reli inaelekea kuwa a white elephant. Inauma sana lakini hivi vitu usikie tuu kwa jirani visikukute.Hii kituu inawala kichwa Sanaabado hawaamini kwamba walipigwa



Ile ufala uko nayo ata mama hawezi kuokoa. Reli yenu Arema standard yani kama Ethiopia. Inabeba 17m . Itafail, ni muda tu.Hapo wanafikiria sana sijui wangoe reli watandike upya ya uzito wa axle 35tons pia wafanye iwe continuous welded na kuweka electric infrastructure lakini common sense inakataa mkopo haujalipwa bado na reli inaelekea kuwa a white elephant. Inauma sana lakini hivi vitu usikie tuu kwa jirani visikukute.![]()
Hapo wanafikiria sana sijui wangoe reli watandike upya ya uzito wa axle 35tons pia wafanye iwe continuous welded na kuweka electric infrastructure lakini common sense inakataa mkopo haujalipwa bado na reli inaelekea kuwa a white elephant. Inauma sana lakini hivi vitu usikie tuu kwa jirani visikukute.![]()
CC: Teargas, komora096 n Tony254Hapo wanafikiria sana sijui wangoe reli watandike upya ya uzito wa axle 35tons pia wafanye iwe continuous welded na kuweka electric infrastructure lakini common sense inakataa mkopo haujalipwa bado na reli inaelekea kuwa a white elephant. Inauma sana lakini hivi vitu usikie tuu kwa jirani visikukute.![]()
Sie ni hatua tu here we go , saiv watalii wanatua bongo moja kwa moja... wao waache waendelee na namba za GDP za kubumba