Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tunatumia very sophisticated financing models siku hizi PPP ambayo nyie hamjwahi kusikia. Mtakuja kutumia PPP baada ya miaka ishirini ijayo, wakati uchumi wenu utakuwa mature kama yetu.
Mulidanganywa na kenyatta ni ppp hebu nioneshe ni kiasi gani kenya imechangia kwenye huo mradi na ni kwan mchina ataimiliki kwa miaka 30 na kwann yeye ndio atakua mchukuzi wa toll fee🤣🤣🤣🤣🤣
 
kampuni ya India inayotengeneza magari ya TATA imepewa bid ya ku’operate’ Air India, lkn hatamiliki ndege hata moja ya Air India.. same to your KQ.. kuoperate 40 aircrafts sio kwamba zinamiliki zote

And who said kuoperate inamaanisha kumiliki? Just a reminder that ATCL doesn't also own any plane.
 
nilikuwa sijaiona hii.. [emoji1319][emoji1319]
but kwann wajenge vitu viwili sehem moja.. stadium na arena.. si wajenge sehem tofauti..
wanataka kurudia yaleyale ya uhuru na mkapa stadium kuwa sehem moja

Its ohk nafasi ni kubwa na wakati mwingine accessibility matters kwenye ku-organize events hata nchi zilizoendelea wanafanya hivyo kama unakumbuka olympic villages Beijing China na Socchi Russia! Sioni shida haswa kama kuna plan ya trams!
 
And who said kuoperate inamaanisha kumiliki? Just a reminder that ATCL doesn't also own any plane.
Hehehe

ATCL lease those plane from GoT, it's like taking money from your left pocket and put it in your right pocket.

Sasa for kq hizo ndege mmekodi kutoka wapi? Serikali yenu inamiliki ndege ngapi na shirika linamiliki ndege ngapi?
 
Mulidanganywa na kenyatta ni ppp hebu nioneshe ni kiasi gani kenya imechangia kwenye huo mradi na ni kwan mchina ataimiliki kwa miaka 30 na kwann yeye ndio atakua mchukuzi wa toll fee🤣🤣🤣🤣🤣
Yani tunaelekea kumaliza mwaka lakini bado umebaki tu mjinga😂😂, kwa PPP sio lazima all parties watoe pesa. For the case of expressway China imetowa pesa while GoK has provided the land and also relocation of services along that route.
 
Hehehe

ATCL lease those plane from GoT, it's like taking money from your left pocket and put it in your right pocket.

Sasa for kq hizo ndege mmekodi kutoka wapi? Serikali yenu inamiliki ndege ngapi na shirika linamiliki ndege ngapi?
20 leased
17 loan from foreign banks not yet paid
3 paid fully

Kwa lugha ya ki aviation wanamiliki ndege 3 chakavu na hasara zaidi ya miaka 10 🤣🤣😇🤣😇
 
Hehehe

ATCL lease those plane from GoT, it's like taking money from your left pocket and put it in your right pocket.

Sasa for kq hizo ndege mmekodi kutoka wapi? Serikali yenu inamiliki ndege ngapi na shirika linamiliki ndege ngapi?
Out of 40 aircraft KQ operates, it owns 20. The remaining 20 are leased from wealthy individual Kenyans and also Kenyan banks. KQ also own more than 10 aircrafts in Jambojet.
 
Yani tunaelekea kumaliza mwaka lakini bado umebaki tu mjinga😂😂, kwa PPP sio lazima all parties watoe pesa. For the case of expressway China imetowa pesa while GoK has provided the land and also relocation of services along that route.
Munaelekea nyinyi au anaelekea mchina kumaliza na kuweka toll zake pale 🤣🤣🤣 uhehehe ndivo kenyataa alivowadanganya nyinyi kwamba ni ppp kwa mlango wa nyuma

Pain iko pale kwenye toll za mchina kwa miaka 30 na mbaya zaidi nimeskia kuna amount imeongezeka 7b ksh sijui atamilikia over 40 yrs 🤣🤣😇😇
 
kama ishu ni plan ya trams.. wangeziweka uelekeo wa in straight direction ya hio trams.. ila kuwe na some distance.. mfano ni kama uwanja uwe pale morocco square afu arena iwe pale victoria au millennium tower

ila hakuna namna wenye wizara washaamua hivyo

kuna kitu kinaitwa accessibility and operation costs!
 
Naona swala la MGR kubaki MGR linakuumiza kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mgr ni mgr tu mzee..pole sana
Usijal hao ni bandugu....mpka speed sawa kbisaa[emoji23][emoji23][emoji23]wala usiumie bhn
 
lakini tz mnajipenda sana.... yani, 22likes kwa hii barabara tu![emoji848][emoji848]. tena kwa hii hii thread 'Dar vs Nbi'.. ingekua sisi ingepata like mbili ama tatu ivi.. sisi hatujali saaaana.. View attachment 1968728
[emoji7][emoji7]
JamiiForums-109727670.jpg
 
Back
Top Bottom