Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ingekuwa ni raia ile failed state ingekuwa tayari muda huu wameshafungua uzi wa kukejeli nchi zingine za Africa.
Kukejeli kwani itakuwa sisi ndio wa kwanza au wa pekee kutoa mtu aliyepatiwa award hiyo? Acha uboya dogo, ka ni uzi unataka kufungua kafungue, usibweke bweke ovyo na hata huyo jamaa aliyetuzwa hakujui! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
😂😂😂😂 washatiwa mimba.
IMG_20211007_210117_594.jpg
 
Uzuri mimi huwa siandikii mate.
Mkishazunguka jamiiforums basi mnajikuta mnaijua Tanzania kumbe hamna kitu.



Mjinga uyo ...anatumia kile kituo cha mbezi mwisho km mfano kuonyesh BRT imefel bila kujua kule tumeforce tu akuna mindombinu sahihi
 
nawaletea feedback.. kinachojengwa hapa ni Lab ya kisasa ya kimataifa.. itakuwa ya ghorofa .. itakuwa ni kwa matumizi ya umma.. sio kwa ajili ya udsm students or udsm staffs only.. hata mtu wa nje anaweza kuja fanya experiments.. ni kama new udsm library ilivyo.. kwa taarifa nilizopewa, waliokusudiwa ni kwa watu wa PhD tu

View attachment 1967174
View attachment 1967175
View attachment 1967176
View attachment 1967177
View attachment 1967178
View attachment 1967179
View attachment 1967180
habari nzuri chief
 
Back
Top Bottom