Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kama kulitokea maongezeko ya Kazi ambazo zililazimu item ya taa kufidia je? Kila mtu anafahami bajeti ya miradi ya serikali huwa ni fixed Sana na huwezi kadiria nini utakikuta baada ya kuanza ujenzi..

Barabara ya njia Kibaha imesimama kwa sababu ya Kazi zilizoongezeka na kulazimi kuomba pesa upya serikalini.Yeye angeomba taarifa ya Kwa nini taa hakuna,kwa sababu hata asipozindua kama hakuna pesa hakuna taa itawekwa.
 
ndani ya ule ukuta kuna kitu wanajenga.. nimeona kwa ndan wamezungushia mabati.. nitawauliza walinzi pale geti la COET kuelekea geti maji

nawaletea feedback.. kinachojengwa hapa ni Lab ya kisasa ya kimataifa.. itakuwa ya ghorofa .. itakuwa ni kwa matumizi ya umma.. sio kwa ajili ya udsm students or udsm staffs only.. hata mtu wa nje anaweza kuja fanya experiments.. ni kama new udsm library ilivyo.. kwa taarifa nilizopewa, waliokusudiwa ni kwa watu wa PhD tu

IMG_2218.jpg

IMG_2217.jpg

IMG_2216.jpg

IMG_2220.jpg

IMG_2222.jpg

IMG_2221.jpg

IMG_2219.jpg
 
Kumbe imekuuma kujua ata nyie mnakunya kunya njiani?
Thats real crup, better visit Tz one time you will never ever annoying Tz over such foolish matter, as far as civilized is concern Tz is your benchmark, ask any one who once travel to Tz....apo akuna sindano
Chukua zako sasa...yani nyie ni mafiiiiii amini kwamba
JamiiForums-1482992848.jpg
20201119_213805.jpg
Screenshot_20200826-161824.jpg
 
sikuhiz haipo.. hio ilitokana na madereva wa mabus kusimama barabaran porini ili kuruhusu abiria kuchimba dawa... saiz wanasimama kwenye vituo vya mafuta au hotelin kuchimba dawa

kuchimba dawa yenyewe sidhan kama unajua maana yake
Ndio mana nimemwambia aje mjini
 
Oyaa, mbona iko kama kawa, na sio porini tu, hadi mjini!

TANZANIA IS SET TO BUILD MODERN PUBLIC LATRINES ALONG THE EAST AFRICAN NATION'S MAJOR HIGHWAYS IN A NEW DRIVE TO CONTROL OPEN DEFECATION (OD).

Anyitike Mwakitalima, coordinator of the National Sanitation Campaign, said Sunday that the initiative is one of the government's efforts to fulfill the UN Sustainable Development Goals (SDGs), which states; "by 2030, achieve access to adequate and equitable sanitation and hygiene for all and end open defecation, paying special attention to the needs of women and girls and those in vulnerable situations."

He said that the Tanzanian government through Ministry of Health Community Development, Gender, Elderly, and Children was alarmed by open defecation along highways, hence is determined to build toilet facilities in those strategic areas, across the east African nation.

"As a government, we're concerned about the high number of people who defecate in the open mainly along the main highways in the country," the official said.

He said that the government plans to build public latrines in the highways which connecting Dar es Salaam to Tunduma (two latrines), Dar es Salaam-Mtwara (one latrine), Morogoro-Mwanza (two latrines), Kagera-Kahama(two latrines), Mbeya-Katavi (one latrine), and Dar es Salaam-Arusha (one latrine).

According to him, the open defecation was one of the leading causes of the increase in the number of typhoid and diarrhea cases in the county.

Mwakitalima said that the National Sanitation Campaign is also mandated to ensure every Tanzanian is using a sanitation facility.

He, however, said that campaign is also projected to reach out 15,000 villages and streets across the country.

The first phase of the project started in 2012 and ended in June last year.

Source: Xinhua

Ssi sio level yenu wanya njee..uko tulisha toka kitambo..nyie hata bus station imewashinda...wacha kujaribu kina cha maji kwa macho
 
Back
Top Bottom