Mzee unajua hiki ni kituo gani.kwa taarifa yako hapa ni kituo kikuu cha brt jangwani cha awali ambacho kwa sasa kimehamixhiwa ubungo so wadau mnaweza kumuuonyesha hicho cha ubungo
kabisa unaweza kutapikaHizo picha kuweka kwenye simu zinatia kinyaa pia zinaweza aibisha
wako vizuri sana,wametubana. 1st halfPiga Benin, kila la heri.,
Kilaza, suit yourself, think and write what u want, I already know your place.
We makalio bisha kwa hoja wewe sio vimaneno maneno.. Kwani ni uongo SGR yenu ni mali ya mchina for 30 good years.? mpaka atakaporidisha pesa zake alizowekeza.?He's so dumb na haoni 😂 😂 😂 😂
sio soccer tu bali kila sector baba....TAIFA STARS tumelambwa kimoja tiyar na game imeisha narudi zangu kutoka kwa stadia, dizain wamemtungua manura kwa goli la mbali...
kisoccer bado tuna safari ndefu
sijazungumzia hizo sekta nyingine sababu zipo n'nje ya topic yangu.sio soccer tu bali kila sector baba....