Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kujifurahisha, jibu hoja, mchina mmeshamalizananae ishu ya SGR.? tunapigizana kelele na taifa ambalo hiyo SGR itakuja iwape faida baada ya miaka 30 😂😂😂 yani mpaka mchina achukue chake kwanza, ndio iwe yenu.. 😂😂😂 alafu mpo humu busy claiming like Ooh SGR yetu Inabeba treni za double deka 😂😂😂 Kumbe revenue yote inaingia mfukoni kwa mchina, aaahh kmmk kwahyo sisi tutaanza kufaidika na SGR miaka 25 kabla nyie kurudishiwa na mchina.? 😂😂 Sa si bora mngengoja mwaka 2045 ndio muanze kujenga SGR yenu ya dizeli 😂😂😂.. kwahyo GDP yenu sasa inawasaidia nini.?
Angalia ulivyo semi illiterate 😂 😂 😂 😂 😂 jifunze kunyamaza wakati mwingine., mambo ya uchumi na biashara uyajui, wewe ni mbumbumbu kwa almost kila kitu, sasa hii ni nini umeandika humu? niletee vipicha vya Dar na estates zake 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., the reason wewe ni miongoni mwa mifukara Tanzania, fikra zako zime ku betray., go study on ways of infrastructural financing., and also find out the ripple effect of infrastructure development to the specific economy, be it through loans or paid for directly.., another one, go research on why do the rich and wealthy individuals take loans while most poor people like you don't?.., unaeza youtube pia ufunzwe na jamaa anaitwa Robert kiyosaki on personal development, uniondolee ufukara wako wa kimawazo..,
 
Former CAG ashindwe kunywa chai ya maziwa,huyu jamaa alipotumbuliwa na Magu kwa upumbavu wake wa kuingiza siasa kwenye utendaji mpaka Sasa inamuuma,akafie mpali mmamae zake.
Kaingiza siasa au kasema ukweli
 
Bila planning and good governance it will end up like chato international
Uzuri mimi huwa siandikii mate.
Mkishazunguka jamiiforums basi mnajikuta mnaijua Tanzania kumbe hamna kitu.

images (18).jpeg
 
Sasa unatuletea taarifa kutoka kwa Mzee aliyekataliwa!? Hao ndio wasaka tonge, kama huwajui.
Maoni yake muhimu, wasio penda ukweli kama wengi wenu humu lazima mmkatae.., the guy is correct., umasikini ni wimbo Tanzania., kaimba Christina Shusho., Mungu atajibu maombi yake kwa Tanzania "utukumbuke"
 
Which Mean sasa hivi tupo zaid ya 20K.

Nakumbuka kuna siku alisema barabara alizojenga ingekua nchi nyingine zingefika hadi kwenye matendegu.

Mkwere ana Maneno Fulani hivi hayaumizi ila yanakera,
Although he didn’t do very well as a president but yako mambo Mengi mazuri alifanya katika awamu zake. Happy birthday kwake JK.
 
my sweet young sister, hapa sio kenyaland bali Yaunde cameroun..
Kwahiyo unataka kusema kukunya hakuna hizo mambo wakati kibera yenyewe ni choo ,wenyewe mnasema tujenge choo za kazi gani wakati tuko kwa choo
 
Angalia ulivyo semi illiterate 😂 😂 😂 😂 😂 jifunze kunyamaza wakati mwingine., mambo ya uchumi na biashara uyajui, wewe ni mbumbumbu kwa almost kila kitu, sasa hii ni nini umeandika humu? niletee vipicha vya Dar na estates zake 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., the reason wewe ni miongoni mwa mifukara Tanzania, fikra zako zime ku betray., go study on ways of infrastructural financing., and also find out the ripple effect of infrastructure development to the specific economy, be it through loans or paid for directly.., another one, go research on why do the rich and wealthy individuals take loans while most poor people like you don't?.., unaeza youtube pia ufunzwe na jamaa anaitwa Robert kiyosaki on personal development, uniondolee ufukara wako wa kimawazo..,
Acha upumbavu wewe na kujitoa ufahamu, huo ni mradi wa mchina sio mkopo yani amejenga alafu atakusanya hela yeye mpaka atakapojilipa ndio akurejesheeni nyie mazuzu. Mkopo means unanikopesha pesa naanzisha biashara (yangu) fulani , naingiza hela kupitia hiyo biashara alafu narejesha pesa za watu.. miradi ya dizaini hiyo Magufuli aliipiga marufuku Bongo, incase you don't know zilikuepo suggestions SGR yetu ijengwe kwa kutumia fomula hiyo ya kipuuzi Mojomba akapiga na chini.. mwendo anaowapeleka UHURU KENYATTA athari zake ni hizi 👇. Jifunze we punguani
 
Back
Top Bottom