Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
🤣🤣🤣🤣🤣ni mwendo wa kunya kunya hewani tu kama kishada,,,shaaa![]()
🤣🤣🤣🤣🤣ni mwendo wa kunya kunya hewani tu kama kishada,,,shaaa![]()
Ushaanza kuhara moshi na kuni huli 🤣🤣🤣na ndio mana hii ujinga ya dar vs nai hamwezi dhubutu kuleta Twitter 🤣🤣🤣🤣huwezi ona hii umbwakni ya wabongo Twitter
Kenge huwa husikii hadi damu ikutoke.si Mlisema sisi tukimbie mpira tuwaachie nyie!alafu mnaanza kulia liaKwani wakenya ni kila kitu hapa Africa mashariki??



Mpira una matokea matatu...yaani kufunga, kufungwa na droo.tunafungwaje nyumbani?
mko na madini kila mahali but your still a shit hole ldc country!!ushawahi jiuliza hizo madini zinaingiaga kwa mfuko wa Nani hama uko tu in love with ndii tweets???😄😄😄
kabisa unaweza kutapika

siyo tu kutapika unaweza kujikuta upo mirembe baada ya kushindwa kuzitolea ufafanuzi kwa ndugu na jamaa au hata polisi,ule msemo wa unacheka cheka kama kichaa kaona jalala jipya unaweza kukuhusu 

Wevuzi tuliza takoKama kulitokea maongezeko ya Kazi ambazo zililazimu item ya taa kufidia je? Kila mtu anafahami bajeti ya miradi ya serikali huwa ni fixed Sana na huwezi kadiria nini utakikuta baada ya kuanza ujenzi..
Barabara ya njia Kibaha imesimama kwa sababu ya Kazi zilizoongezeka na kulazimi kuomba pesa upya serikalini.Yeye angeomba taarifa ya Kwa nini taa hakuna,kwa sababu hata asipozindua kama hakuna pesa hakuna taa itawekwa.
Hizo barabara kajenga waziri jpmBarabarani, Elimu,Diplomasia na Uchumi ni legacy kubwa kabisa ya JK..HB kwake.
Majirani eti? #NyunguChronicles 👇😁😂🤣Kama 2021 mnapiga nyungu nation wide in order to cure a pandemic! mkuwe level ya Nani? Labda Madagascar
Sikuizi viongozi chini ya huyu kibaraka wamekuwa wapumbavuu kwelikwelije akigoma inamaana inafumuliwa upya au ndiyo anagoma kuzindua halafu nothing happen?
Siwezi aibika na wazee wa flytoilet....naona wengine wanaoga uko