Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Watu wa pwani kwa kupika ni balaa...
Watu wa pwani kwa kupika ni balaa...
Oyaa, mbona iko kama kawa, na sio porini tu, hadi mjini! 🤣 🤣 🤣sikuhiz haipo.. hio ilitokana na madereva wa mabus kusimama barabaran porini ili kuruhusu abiria kuchimba dawa... saiz wanasimama kwenye vituo vya mafuta au hotelin kuchimba dawa
kuchimba dawa yenyewe sidhan kama unajua maana yake
daaah🙄🙄🙄Yani nimemchapa adi akaenda backup kutoka naigeria🤣🤣🤣Daktari ni mm, nimeleta dawa! 💉 💊 😂😂😂😂😂
View attachment 1966711
Hamna aibu, tafuta nyingine! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Haya inatoka wapi wakati ndio public toilet zao wameshazoea. Tena hapo nafuu wamechafua mazingira na mbolea tuu lakini kawaida ni mboea + plastic bag.
Kwa ground 🤣🤣🤣Acha kujifurahisha, jibu hoja, mchina mmeshamalizananae ishu ya SGR.? tunapigizana kelele na taifa ambalo hiyo SGR itakuja iwape faida baada ya miaka 30 😂😂😂 yani mpaka mchina achukue chake kwanza, ndio iwe yenu.. 😂😂😂 alafu mpo humu busy claiming like Ooh SGR yetu Inabeba treni za double deka 😂😂😂 Kumbe revenue yote inaingia mfukoni kwa mchina, aaahh kmmk kwahyo sisi tutaanza kufaidika na SGR miaka 25 kabla nyie kurudishiwa na mchina.? 😂😂 Sa si bora mngengoja mwaka 2045 ndio muanze kujenga SGR yenu ya dizeli 😂😂😂.. kwahyo GDP yenu sasa inawasaidia nini.?
Acha uongo hakuna delays kwenye kukata ticket hata kidogo, ni fasta na salama, gari ni nyingi mno.. alafu huko kwenu hakuna BRT System hamuwezi kuwa mfano, acha kuongea uongo.. unazungumza kama umewahi kufika DSM 😂😂😂.. no research no right to speakUlitaka waje bongo na mshafeli tayari- floods, overcrowding, accidents, delays, ticketing mess etc
Jibu hoja usinikimbie
Very useless,,,hakuna mpangilio yoyote kwa groundAcha uongo hakuna delays kwenye kukata ticket hata kidogo, ni fasta na salama, gari ni nyingi mno.. alafu huko kwenu hakuna BRT System hamuwezi kuwa mfano, acha kuongea uongo.. unazungumza kama umewahi kufika DSM 😂😂😂.. no research no right to speak
Jibu hoja usinikimbie
Unajua ni mabasi mangapi mapya ya mwendokasi yameongezwa mwaka huu?
Hongera kwake, I love literature.., and the likes of Wole Soyinka.., have not read this guy.., lazima I get copies of his work.,View attachment 1966760
![]()
Nobel Literature Prize 2021: Abdulrazak Gurnah named winner
The Swedish Academy praised him for his "uncompromising" writings on the effects of colonialism.www.bbc.com
good for him🤗🤗🤗,,,kind of brains we need back to the societyView attachment 1966760
![]()
Nobel Literature Prize 2021: Abdulrazak Gurnah named winner
The Swedish Academy praised him for his "uncompromising" writings on the effects of colonialism.www.bbc.com
Unajua ni mabasi mangapi mapya ya mwendokasi yameongezwa mwaka huu?
Unajua hiyo picha ni ya lini na hilo tukio lilisababishwa na nini?
😂😂😂 Hii ni siku ya uzinduzi labda mzee wangu, bus za BRT hazipandwi hivyo kama daladala, upandaji wa bus hizi watu wanatoka ndani ya kituo moja kwa moja Hadi ndani ya bus, video kibao zipo YouTube wakenya wenzako waliokuja kutoa tongo tongo wameweka, ntakusaidia moja hii 👇. Acha kukaa porini njoo ujionee dunia ilivyojengwa
Ingekuwa ni raia ile failed state ingekuwa tayari muda huu wameshafungua uzi wa kukejeli nchi zingine za Africa.View attachment 1966760
![]()
Nobel Literature Prize 2021: Abdulrazak Gurnah named winner
The Swedish Academy praised him for his "uncompromising" writings on the effects of colonialism.www.bbc.com
Continuous welded MGR[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ivi kuna watu wanhaha kama nyie...iyo esiiijiaraaaa yenu ndiooo MGR yetu
Uzuri mimi huwa siandikii mate.ata mwongeze Basi ngapi bila mpangilio yoyote haitasaidia,, despite you've got the brt in that city but still the majority of dar residents still use "dalala" and tuk tuk