Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makupa bridge progress, uhuru ametenda banaView attachment 1966514View attachment 1966515
Vitu vya hadhi ya jua kali jadilini ukouko kwenu
IMG_20210809_125041.jpg
 
Kenya Ina GDP ya $100 Ila wanakufa na njaa Kama mbwa,sijui ni laana ama ufisadi😂😂
wangapi wamekufa? mbona sipati jibu.., Tanzania mfanyiwe tambiko, la sivyo mnakufa fukara kama mababu zenu tu licha ya rasilmali 😂 😂 😂
 
Nachona apa ni desparate person who try so hard to prove nothing....wacha kuchanganya picha we slum dweller...unataka kuona vitu vizuri.....mkunya anapojaribu vita ya usafi wakati wao wanaidhi dampoView attachment 1966102View attachment 1966103View attachment 1966104View attachment 1966105View attachment 1966107View attachment 1966108View attachment 1966110View attachment 1966111View attachment 1966112View attachment 1966114View attachment 1966116View attachment 1966117
Unaogopea hadi unakusanya vipicha vya uongo? 😂 😂 😂 😂 😂
IMG_20211007_133852.jpg
 
your so fan, wakati unapost hili bandiko uko na plastic beg umesha haraa unaenda kukatupa wapi sasa?...
Kumbe imekuuma kujua ata nyie mnakunya kunya njiani? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 💉 💉💉
 
Acha kujifurahisha, jibu hoja, mchina mmeshamalizananae ishu ya SGR.? tunapigizana kelele na taifa ambalo hiyo SGR itakuja iwape faida baada ya miaka 30 😂😂😂 yani mpaka mchina achukue chake kwanza, ndio iwe yenu.. 😂😂😂 alafu mpo humu busy claiming like Ooh SGR yetu Inabeba treni za double deka 😂😂😂 Kumbe revenue yote inaingia mfukoni kwa mchina, aaahh kmmk kwahyo sisi tutaanza kufaidika na SGR miaka 25 kabla nyie kurudishiwa na mchina.? 😂😂 Sa si bora mngengoja mwaka 2045 ndio muanze kujenga SGR yenu ya dizeli 😂😂😂.. kwahyo GDP yenu sasa inawasaidia nini.?
 
Back
Top Bottom