Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans have once again shown their giving spirit after helping a woman photographed pushing a heavy mkokoteni (handcart) in Dagoretti, Nairobi.
Everlyn Ndinyuka, alias Mama Denno was pictured pulling a heavy mkokoteni, and the image went viral. Wellwishers actualised her dream to open a cereals shop.

NB - Ako na biashara yake sahi. Ingekuwa huko Bongo hata shillingi hapewi! 🤣 🤣 🤣 🤣 (mlivyo wagumu)
 
Aaaah Kumbe allegations 🙂nilitaka kushangaa
99% huwa imefanyika, tena ni polisi wenyu, hao hata si wa kutetea walifanya, kama walifir... maseng... kule rumande walipowakamata wakati ule, itakuwa wanawake? 😂 😂 😂 😂
 
99% huwa imefanyika, tena ni polisi wenyu, hao hata si wa kutetea walifanya, kama walifir... maseng... kule rumande walipowakamata wakati ule, itakuwa wanawake? 😂 😂 😂 😂
We unaongea vitu usivo vijua 🙂🙂🙂🙂
 
🙄🙄🙄🙄🙄
Screenshot_20211004-154511_Instagram.jpg
 
Ina features nyingi na packages amabazo ni appealing kwa mtanzania na mteja wa Africa maana ni affordable na Iko imara that's why tunaipenda
Hehehe!!hujajibu kitu mzeeukisema ni affordable basi si ni kawaida kw vitu kutoka nchi maskini..
 
Hehehe!!hujajibu kitu mzeeukisema ni affordable basi si ni kawaida kw vitu kutoka nchi maskini..
Ukilinganisha packages za wapinzani kama vile zuku TV,na what Azam is offering mfano uwezo wa hd,tamthilia ambazo wabongo wanazipenda,azam sports hd ya home,eastfafrica, international,movies na series latest pia ni advantage yani Azam offers more for a few price
 



Nyaraka za Pandora, hata hivyo, hazionyeshi ushahidi wowote kwamba familia ya Kenyatta iliiba au kuficha mali za serikali katika kampuni zao zilizofunguliwa katika maeneo yenye unafuu wa ulipaji ushuru.

My take - wabongo mtatafuta sana! 🤣 🤣 🤣
 
Hahaha wacheni kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kama contractors wa kujenga pipeline wameshapatikana basi wataje. Ni kampuni zipi zimepata kandarasi ya kujenga bomba la mafuta? Ni tag kampuni zikishatangazwa.
upo nnje ya mda mzee
 
Hapo ndipo mama anapo anguka anashindwa kuweka mkazo kwenye vitu vya msingi au propaganda za msingi za kuiletea nchi maendereo ya haraka ana angaika na kumfurahisha mzungu ,mambo ya chanjo tulitakiwa tuvute subira faida ingekuwa kubwa
1 tungepata uhakika wa chanjo bora na uhakika wa matumizi bora yaani mtu mwenye sifa zipi achanje na asiye na sifa zipi asichanjwe
2 bei ingekuwa ndogo maana asilimia kubwa ya wazungu na watu weupe wangekuwa wamesha chanjwa ,bei ingeshuka hata chini ya 80% ya bei ya sasa
 
Back
Top Bottom