Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi ulinganishe na DSM kwenye issues za insecurities? Wadanganye wenzio🙄🙄🙄Ila sio Sisi!
Oya bro, sio mm nimetoa tahadhari, ni kaka zako wabongo, so kama unaumia sana kawafuate hao mzichape, usiniletee makasiriko yako! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Vitu kwa ground ni different - huyo ni m'bongo! 🤣 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20211004_143103.jpg
 
Oya bro, sio mm nimetoa tahadhari, ni kaka zako wabongo, so kama unaumia sana kawafuate hao mzichape, usiniletee makasiriko yako! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Tatizo we ni muongo! Unategemea platforms! Nairobi nimekaa, shirika ninalo lifanyia kazi lipo Nairobi 🙂bongo kuna wa huni wengi sijakataa na vibaka wa kawaida Sana alafu cases za hivo ni chache Sana ! Nairobi sasa🙂unaibiwa kweupe watu wanakuangalia,kaunzia Luthuli,jinvanjee,globe cinema hata hiyo moi avenue ukizubaa unakula ngeta Kuna nchi tatu partners wetu wakija wanapewa tahadhari Sana! Kenya,Somalia na Congo
 
Ati wachache, wewe kubali yaishe, uhuni mnao tena sana! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20211004_143103.jpg
 
Tupe na linkhttps://www.africanews.com/2021/09/21/kenyan-elderly-women-learn-to-defend-themselves-against-sexual-attack/View attachment 1962577
03/09/2021
TANZANIA OPENS PROBE INTO RAPE ALLEGATIONS AGAINST POLICE...
Tanzania opens probe into rape allegations against police. Tanzanian police said Friday they were investigating allegations that some of their own officers raped and sexually harassed women in night clubs.
 
Back
Top Bottom