Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi





MY TAKE
I can pretty assure go around the whole of Kunyaland n u will find no such a bus on their roads! I say u will find "nada" of Mercedes Benz Irizar i6S Plus!

Club za Spain zinatumia mabasi haya!
FAw3I9kWUAcANod



FAJcdHAXMAMbZ0d



VS


FAw119QWEAATIJI
 




MY TAKE
I can pretty assure go around the whole of Kunyaland n u will find no such a bus! I say u will find "nada" of Mercedes Benz Irizar i6S Plus!

Club za Spain zinatumia mabasi haya!
FAw3I9kWUAcANod



FAJcdHAXMAMbZ0d



VS


FAw119QWEAATIJI
Wakenya wameshakubali kwamba sisi sio size yao tenaa, kilichobaki ni tunamalizia malizia tu wabadilishe namba za GDP tufunge huu uzi.
 
Nilwahi kufanya tour kupita inapoanzia Nairobi Express way hadi inapoishia nikawa nashangaa udogo wa Nairobi, leo kwenye hii video imeonesha how Nairobi is small, Kenya Should do something kwa ajili ya Watu wanaokaa kwenye Slums
Kanairobi ni kadogoo mno na licha ya udogo wake bado 3/4 ni mbuga, so maendeleo Kenya yapo kasehemu kadogo sn eneo lililobaki ni vijiji na ma slums yametapakaa.
 
Ukitaka kuamini angalia World map inayoonesha umeme ukiwaka duniani utaona Kenya unawaka only Nairobi lkn sehemu kubwa ni giza nene tofauti na Tz taa zimetawanyika mikoa tofauti tofauti.
 
Tanzania nzima watu hawataki chanjo.Nawaona wanatembea na magari Yao mitaaani wanawaita watu watu hawataki.
sema hii serikali umevunja record yaani wamepata fungu la pesa basi ni mwendo wa kupiga promo ya chanjo mwanzo mwisho hadi wanatuletea ujumbe kupitia simu zetu
 
90% ya Wakenya hawana stima majumbani mwao, 7% wenye stima wanaishi Nairobi, 2% wanaishi Mombasa and 1% ndio zinagawana counties zilizobaki na pia umeme huwa unakatika katika na kupelekea umeme kuwaka mara chache ndani ya wiki, mkunya anayebisha aje hapa nimpe ushahidi.
 
Pia kuhusu maji ndio kabisa, 99% ya Wakenya hawana uhakika wa kupata maji safi na salama, hii inapelekea Wakenya wengi kuoga iwe anasa, ukifika pale Nairobi kuna mapipa ya maji juu ya nyumba za wenye visenti kdg lkn majolity huwa wanatumia ya visima au wakasimame kwenye que ndefu ya kusubiri maji ya bomba la ku pump, hii inadhihirisha kwamba Kenya ni the failed state that it failed to offer better social amenities to its nationals. Watanzania tumshukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom