Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walikuwa wanajiongopea eti ubungo 3level interchange imejengwa tofauti na render, nimemletea render anaanza kusema vumbi, nikamletea ikiwa imeisha kakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alianza render akaja quality na vumbi sasa hivi yupo kwenye tuktuk [emoji23][emoji23][emoji23]
 
And that's why dodoma your "capital city" looks like a battle field!!!!how can a responsible government compete with a private sector?. Eti majengo marefu!jengo refu pekeyake Tanzania ni Mt kilimanjaro...
Hujajibu swali mzee wangu, me sijaulizia kuhusu private sector kuwekeza majengo marefu lahasha, swali kilikua hiv kuna jengo refu hata moja hapo kenya ambalo linamilikiwa na wakenya, kama ambavyo tz majengo yote marefu ni mali ya Tanzania.? Ili kusudi tujue nani Kati yetu anajiweza without external investments, sio mnapiga mbamba mingi humu kumbe hamjiwezi ni kelele tu.. alafu kuhusu Dom mzee, mji mzima unajengwa high rise buildings ni kama zote it's just a matter of time utanionea, you just wait and see
 

Yah ila kipande cha Dar morogoro ndio cha muhimu zaidi kwaiyo hawewezi kujenga moro -dom kabla ya Dar moro kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…