Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hili swali hatuliulizi katika vipengele vingine Kama vile "Peace index?" au "Corruption perception index"" au " Economic reports" zilizoiweka Tanzania katika kundi la "Middle income countries?.
Kwa kuwa hivyo ni vitu vidogo vidogo, hakuna nchi iliyowahi kuvamiwa kwasababu ya kuwa na Peace index ndogo.
Kwa miaka yote Tanzania imekua ikiongoza katika kipenge cha Demokrasia, wengi tulikua hatuhoji, ila kipindi hiki tumeambiwa kwamba huko hatufanyi vizuri, tumeamza kulialia, katika kipengele cha demokrasia hatukufanya vizuri.
Nafikiri huelewi hiyo "demokrasia" ni nini.

Ukiangalia kwa undani utagundua "demokrasia" ni "wao" kuruhusiwa kufanya wanavyotaka. Wakiruhusiwa kuchukua madini, gesi na mafuta basi hiyo nchi huitwa ya kidemokrasia na itapaishwa hata kiuchumi kwenye takwimu zao. Wakiminywa "demokrasia" ya kufanya watakavyo, nchi inakuwa haina demokrasia.
Kupanga ni kuchagua, tuliamua kujenga uchumi kwanza kwa gharama ya kufifisha demokrasia, ninadhani ni maamuzi sahihi, wakati mwengine ninayaunga mkono pia, ila tusikatae
Narudia tena, "demokrasia" ni kwao kufanya wanavyotaka, believe me "they don't care about us" (Michael Jackson).
tunapoambiwa hatufanyi vizuri katika upande huo.
Mambo ya kuambiwa, changanya na yako - JK
Nyerere alichagua kuanza kujenga demokrasia kwanza, matokeo yake uchumi uliyumba Sana, hatukupinga tulipokua tunawekwa katika kundi la nchi masikini zaidi duniani (LDC), lakini ktk demokrasia tuliwekwa juu Sana, vipi Sasa hivi katika uchumi tunawekwa juu lakini ktk demokrasia tunawekwa chini tunalalamika?
Nieleweke niko upande wa Nyerere wakati wote, ila kusema alifuata "demokrasia" wakati alivunja vyama vingi na kuamua TANU pekee ndiyo kiwe chama na kuwahamisha watu kwenye vijiji vya ujamaa, hiyo ndiyo demokrasia?
 
picture7-png.2114128

kalilie kwa choo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kipi special hapa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tangu lini 3 level ikaibuka tu ghafla, yn ilimradi na nyie mshindane na Tz [emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
some of those interchanges were built before you knew interchanges or flyovers might one day exist in your country,,so cool your two balls😄😄😄
 
Wakenya wababaishaji sn yani hii road wanaipitisha sehemu zingine wanafosi ili tu wapate view lkn waapiii goma limekataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona unaugua kwa wivu. Pole sana. Jipake rob rafiki utapona.
 
Back
Top Bottom