Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kabla kujengwe au mchina anaekeza hapo na pain mutaikuta juu ya toll zake inawasubiri miaka 30πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Vipi IMF waliwaongezea ule mkopo wenyu, au sahi mnaiga KE, ni mwendo wa ki chinku??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Vipi IMF waliwaongezea ule mkopo wenyu, au sahi mnaiga KE, ni mwendo wa ki chinku??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Sijaona mkopo bado naskia munaimba msaada imf kumlipa mchina kabla kuchukua bandari ya mombasa 😁😁😁😁 nchi imejinyea mchana kweupe
 
Birds of the same feathers, South African Airways is currently not operating due to mismanagement and massive losses.... We all know what has brought down KQ on its knees...
Kama SA airways na KQ umesemama mismanagement Ndio zinapata losses wat about always loss making Tanzania Airways🀣wat about that tell us moreπŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna infrastructures za kisasa zipo Tz lkn Kenya hazipo, ni suala la muda tu hao mabeberu wanakwenda kurekebisha hizo namba cz now mkuu wa nchi anaenda nao sawa, anawapa kile wanachotaka so hakuna namna wanalazimika kubadili namba zao, c waafrika tumekeza akili zetu kwao basi wacha watuamulie kila kitu.

Iko wazi kwamba TZ imeendelea zaidi ya Kenya interms of everything ukiacha michezo ya kipuuzi kama kukimbia, lkn the rest ni mbingu na ardhi, na ndiyo maana nyie wakunya mavi mpo hapa
Unaongea kwa maumivu sana mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole bro, nakuelewa, ukweli ni uchungu, zoea tuπŸ˜‚πŸ˜‚., haitawai tokea Tanzania iendelee zaidi ya Kenya., mnaelekea Nigerian route..., anza na Dar.., mji fukara kote kote.., na mapato ya taifa je?.., yaani annual revenue? picha halisi ya uchumi.., ata kwa mtu binafsi, mapato yanadhihirisha uwezo wake.., Tanzania ni hovyo sana in comparison, due to size and population! Yaani mtu ako na watato hamsini na mapato yake ni shillingi elfu mia moja ya Tanzania, kisha anategemea kuitumia kwa mahitaji ya kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., watoto watafana vipi? Dar aerial view ni jibu lako..., ni muonekano wa ufukara ulio tapakaa kote kote, wageni mara ya kwanza watakuambia, uchi wenu haufichiki!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , mnahurumisha lakini! kitu mmetushinda ni ukarimu wa kinafiki hivi., na ushamba kwa wingi. Mengine nah.., Domo domo tu, ukiongeza mziki, na propaganda. Mnafanya mambo bila mpangilio, kisa Kenya wamefanya.., unnecessary competionπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mnaweka vipicha kwa angle za kipropaganda kujiliwazaπŸ˜‚πŸ˜‚., mtapasuka msamba hivi karibuni, endeleeni kukunya..,
 
Sijaona cha ajabu madamu lazma mchina achukue hela yake miaka 30πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Hujambo bro.., lazima deni lilipwe, either ikue through PPP or conventional way, nikulipa, umechunguza faida yake kwa uchumi kweli?., hilo hauwezi, utaumia bure.., wacha nilipe, mbona nikae kwa jam masaa mawili nikitumia mafuta mingi, kulipia expressway ni cheap sana!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., bro hii barabara imekutesa sana kuliko anything in KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..,
 
ShunjaaπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

View attachment 1957466
10326928406_e3464b1ed5_b.jpg
 
Unaongea kwa maumivu sana mkuu pole bro, nakuelewa, ukweli ni uchungu, zoea tu., haitawai tokea Tanzania iendelee zaidi ya Kenya., mnaelekea Nigerian route..., anza na Dar.., mji fukara kote kote.., na mapato ya taifa je?.., yaani annual revenue? picha halisi ya uchumi.., ata kwa mtu binafsi, mapato yanadhihirisha uwezo wake.., Tanzania ni hovyo sana in comparison, due to size and population! Yaani mtu ako na watato hamsini na mapato yake ni shillingi elfu mia moja ya Tanzania, kisha anategemea kuitumia kwa mahitaji ya kila siku., watoto watafana vipi? Dar aerial view ni jibu lako..., ni muonekano wa ufukara ulio tapakaa kote kote, wageni mara ya kwanza watakuambia, uchi wenu haufichiki! , mnahurumisha lakini! kitu mmetushinda ni ukarimu wa kinafiki hivi., na ushamba kwa wingi. Mengine nah.., Domo domo tu, ukiongeza mziki, na propaganda, kufanya mambo bila mpangilio, kisa Kenya wamefanya.., unnecessary competion, mnaweka vipicha kwa angle za kipropaganda kujiliwaza., mtapasuka msamba hivi karibuni, endeleeni kukunya..,
Maneno ya uchungu mkubwa haya
 
Kukopa ili kulipa madeni Marekani., leo kuna debate moto capitol hill!
(What ails progressive economies is the same across.., exactly Kenyan situation)

Kwa wale wasio elewa mambo ya uchumi watasema Tanzania ni bora kuliko Marekani eti, kisa Marekani wanajaribu kukopa kulipa madeni yao πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Niko nauhakika Tanzania pia wanakopa kulipa madeni kimya kimya (CCM style).., taifa halina uwezo wa kujikimu.

What happens if Congress doesn't raise the debt ceiling? What you need to know about the showdown between Democrats and Republicans

The debate over the debt limit β€” often called the debt ceiling β€” is heating up again on Capitol Hill. But government officials, business leaders and economists are raising the alarms, saying not addressing it in a timely manner would be disastrous.


What is the debt limit, and why do we have it?​

The limit is the maximum amount the United States is allowed to borrow to pay its debts. If the amount of government debt hits that limit, and doesn't lift the ceiling, the U.S. would be unable to pay what it owes and could default. When Congress raises or suspends the debt limit, it's not greenlighting new spending β€” instead, it allows the Treasury to pay for spending it already approved.

The U.S. has had a debt ceiling for more than 100 years. It was first established in 1917 with the Second Liberty Bond Act and set at $11.5 billion. Prior to that, lawmakers had to approve every issuance of debt separately. Different kinds of debts were later consolidated under one aggregated debt limit in 1939, which was first set at $45 billion. The national debt ceiling has been raised or suspended more than 100 times since then, according to the Committee for a Responsible Federal Budget.
The debt limit was most recently addressed under President Donald Trump, when Congress passed bipartisan legislation that suspended it for two years. When that suspension expired in 2021, the amount borrowed during that time β€” roughly $6.5 trillion β€” was added to the previous debt limit of more than $22 trillion, bringing the limit to $28.5 trillion as of August 1.

What happens if Congress doesn't raise the debt ceiling?​

When the suspension expired, the Treasury Department began using so-called "extraordinary measures" to keep paying its bills. Such measures include suspending the sales of some Treasury securities and redeeming or suspending investments or reinvestments in some funds.

When extraordinary measures are exhausted, the Treasury spends its cash on hand. When that runs out β€” which experts estimate could happen in October β€” the U.S. government would not be able to meet its debt obligations and would go into default. This has never happened in U.S. history.

If the U.S. government cannot pay its bills, millions of Americans would be affected. Social Security payments would not go out; U.S. troops and federal civilian employees would not be paid. Veterans could see compensation or pension payments lapse. And millions of Americans on food assistance would see benefits stop.


What happens if the U.S. defaults?​

The U.S. defaulting would "likely precipitate a historic financial crisis that would compound the damage of the continuing public health emergency," Treasury Secretary Janet Yellen wrote in the Wall Street Journal over the weekend. "Default could trigger a spike in interest rates, a steep drop in stock prices and other financial turmoil. Our current economic recovery would reverse into recession, with billions of dollars of growth and millions of jobs lost."

On Tuesday, financial services firm Moody's Analytics stated a default would be a "catastrophic blow" to the economic recovery, and said even if it was resolved quickly, Americans would pay for a default for generations. Its analysis showed if lawmakers remained at odds after the debt ceiling was breached, nearly 6 million jobs would be lost, the unemployment rate would climb back up to nearly 9% and stock prices would be cut by almost a third, wiping out $15 trillion in household wealth.

Even the threat of default can have financial consequences. In August 2011, the U.S. credit rating was downgraded from AA+ to AAA for the first time in history by Standard & Poor's, just days after the Obama administration reached a deal with Congressional Republicans. The credit agency said the downgrade reflected its view that the "effectiveness, stability, and predictability" of American policymaking and political institutions had weakened at a time of ongoing challenges.

How does the debate between Democrats and Republicans stand?​

For months, Democrats have been calling for a bipartisan approach to raising or suspending the debt ceiling. But Republicans have said Democrats would not have their support.

On Monday, Democratic leaders announced they are including the debt ceiling in the stopgap spending bill to keep the government running into December. The move would suspend the debt limit through December 2022, meaning lawmakers would not need to address it until after the midterm election.

But attempting to tie the debt limit to the government funding legislation, known as a continuing resolution, poses risks for lawmakers on both sides of the aisle.

For Democrats, should the effort fail, it would not only mean challenges for the debt limit but could also result in a government shutdown at the end of the month. Republicans who vote against legislation that combines raising or suspending the debt limit with money risk going on the record as being in favor of a government shutdown. Combined legislation would also force members who are against changing the debt limit to also vote against provisions they do support β€” like disaster relief and money for Afghan refugees.


After the plan was revealed, Senator Mitch McConnell reiterated raising the debt limit would not receive GOP support, in a release stating Republicans would vote for a clean continuing resolution with money for Afghan refugees and disaster relief but not to raise the debt limit.

With a 50-50 split in the Senate, Democrats need 10 Republicans to vote in support of the legislation. McConnell had suggested Democrats include the debt ceiling provision in their budget reconciliation package, which would have allowed Democrats to suspend the debt limit without any GOP support. But Democrats are still calling for a bipartisan approach. What remains unclear with 10 days to go: Plan B.
 
Hiyo biashara imepitwa na wakati sasa tutaanza kulazimisha watu kuvaa barakoa hata kama kovidi hakuna si unaona chanjo watu wamechoma ila mzungu kalazimisha wave barakoa hata kama wamechanjwa maana hiyo ni biashara imesha jengewa na viwanda huko ulaya
Ukisemacho ni kweli bro but kama nchi aitopendeza kwenda kinyume na wengine,kuna wengine ridhiki yao lazima watoke nje ya TZ ndio maisha yaende,tukitengwa na mataifa mengine unadhani itakuaje!
 
Sabbatical in Nigeria., anashangaa sio vile ameaminishwa na viombo vya habari kuhusu Africa.., I like his vibe and positive energy. very objective.
 
Back
Top Bottom