The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Pande za Muhimbili kule kuna residential za namna hii kama zote yani.






















Pale mwenge kwenye Ile service road walipanda majani sehemu kama hio lakini madereva wamegeuza parking! Yale majani yote yamekufa na kuna muonekano mbaya sana. Nobody cares!Mbona wameacha earth pathway Wajapan nao? mchanga utaingia kwenye mtaro!
![]()
Bado ipo U/C.
Umenikumbusha mbali sana. Mara ya mwisho kupanda haya mabasi ya UDA (aka kumbakumba) ilikuwa miaka ya tisini mwanzoni then zikaja chai maharage na hatimaye daladala.
Kenya ni nchi ya wajinga sana, gari moshi lao kila siku linaua wanyama pumbavu hawa.View attachment 1954938



Wapi hii mkuu.View attachment 1955022
Hili Ndio jiji sasa
Wapi hii mkuu.
Hivi hawa wakunya wanatoa wapi ujasiri wa kujifananisha na cc kwenye kms of paved roads? Hivi zikitoka takwimu mpya za Tanroad pasipo kuficha ficha mambo c watajidharau sn hawa watu





Ngoja East Africa trade center iishe, hapo patakaa Europe.View attachment 1955033
Ubungo Dsm
Hapo kumepigwa bomu ama?
Wapi hii mkuu.
Hizi buildings ni quality sio kama zile zinazoanguka kila kukichaPande za Muhimbili kule kuna residential za namna hii kama zote yani.View attachment 1954940