IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Now you are convincing me when i get different angle shots... Can it land a chopper ama tu ni ya madoido
Now you are convincing me when i get different angle shots... Can it land a chopper ama tu ni ya madoido
😀 it's like that chopper has been photoshoped there if you can't provide múltiple pictures... Or let me ask, is it functional?
Wapi hii kitu?bongo
![]()
Tujenge helipad alaf iwe madoido wewe akili yako sio salama kama umechoka pumzikaNow you are convincing me when i get different angle shots... Can it land a chopper ama tu ni ya madoido
Now you are convincing me when i get different angle shots... Can it land a chopper ama tu ni ya madoido
yaani hawa we waache tu......tuendelee na draft letu la ushindiBaaday muda Nairobi itaanza ku compete na Arusha. Achilia mbali Mwanza maana jiji la mwanza lipo kando kando ya ziwa Victoria. Kwahiyo lipo na advantage kubwa ya kuwa na mvuto.
Arusha na Mwanza ni majiji yanakuwa kwa kasi. Huku Arusha ikijinasibu kwa utalii na diplomatic city. Wakati mwanza ikijimasibu kwa biashara za madini na utalii wa ziwani.
Ukija kuangalia katika mazingira mwanza ipo na opportunities nyingi za kukua na kuwa jiji la kisasa zaidi. Wakati huohuo Arusha inaweza kupambana na Nairobi na kutoana jasho in near future.
Bila kusahau Tanga na Mtwara huku tukinogesha kibwagizo cha visiwa vinavyo nukia udi na uvumba vya unguja na pemba. Sehemu hizo in near future vitaifanya kenya ionekane kama kijijini maana hakuna namna.
Hapo sijaongelea Mbeya na beach zake zilizopo katika ziwa nyasa yaani matema beach. Huku mbeya ikipambwa na hali yahewa nzuri yenye ukijani wa kuvutia. Mbeya inasifika kwa kilimo cha mpunga. Wali wake mtamu na wa kivuti.
Bila kusahau kisiwa cha mafia kinaweza kuwafanya vijana wa Kenya waonekane washamba ki mtindo. Maana huko utavutiwa na minazi iliyopandwa kwa staha ya hali ya juu. Huku ikiongezewa mapambo ya beach nzuri na upepo mwanana unaotoka bahari ya hindi. Bila kusahau kuongelea na samaki aina ya dolphin, samaki hawa wanasifika kuwa na akili sana.
Bila kusahau Kigoma, mji ulio kando kando ya ziwa Tanganyika. Kigoma inasifika kwa uvuvi wa samaki aina ya mugebuka na kilimo ya michikichi inayotupatia mafuta ya mawese. Utamaduni wa huko utavutia wengi maana unafanana kabisa na utamaduni wa pwani ya mashariki. Utakutana na usafiri ya majini na meli kongwe kabisa iliyoachwa na mjerumani.
Kenya hakika watu wake bado ni washamba wamejazwa ujinga wa kikiloni.
Hawa hua wanawaza bado ile tanzania ya 90syaani hawa we waache tu......tuendelee na draft letu la ushindi
sikutoka kwa government yao .....wanamezeshana matope.....mwisho wa siku duniani watazidi kuumbuka.......watabaki na mbio zao za njaa kwenye marathonkwa data za bandia sawa kama bbc walivosema asilimia 90 ya wakenya huamini na kuskia habari bandia
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Evidence?
The view from Mzizima towers by indaressalaam, on Flickr
siyo siri collo unaelekea kuwa tejaNionyeshe hii sasa
nipee jibu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Photos far from cbd but cbd in the background.... Its unavailable in dar..mulisa,ichoboy,annael,nduda,tz one etc plz post me only one photo equivalent to this.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sent from iPhone 7

What's up the mr future tense guy...Morroco square will have a helipad to
Ni sawa alichokwambia bcoz morocco square iko in final touches 😀😀😀What's up the mr future tense guy...