Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

36floors only kweli mna mlima mrefu sana wa kukwea ndio mfikie anga za Nairobi
Anga za Nairobi hatuziwezi kweli ,maana badala mjenge majengo yenye floor nyingi mnajenga antennas , by the way ivi Kenya majengo yenye floor 30 na zaidi yapo mangapi

spensa_e
 
Niletee data ya 2017...na uniletee source zinazoeleweka 😀😀😀😀
Area ni 0.41sqkm
Tukubaliane hapo kwanza maana Area haiwezi change.
hii kirikuu inaweza ingia Mombasa mara mia sita hiii. ni ukweli au si ukweli?
 
Anga za Nairobi hatuziwezi kweli ,maana badala mjenge majengo yenye floor nyingi mnajenga antennas , by the way ivi Kenya majengo yenye floor 30 na zaidi yapo mangapi

spensa_e
Kwa sasa yaliyokamilika yapo matatu 3
1. The concrete TIMES TOWER of the 1990s?
2.The TERRACOTTA BRITAM Tower
3. The other Concrete Tower that looks like the 1940 new york building with tiny windows UAP Towe
r 😀😀😀😀😀
Watani wasjije nitoa nduki😛😛😛😛
 
BATA On the rooftop Leve 8 at HYATT REGENCY the KILIMANJARO

20245978_1766879390269117_1978663727866374806_n.jpg

20140111_1766879503602439_4233412754479995892_n.jpg

20245465_1766879326935790_2644052789851785002_n.jpg
 
LDC kuna nn lakini😀😀😀😀😀

26 billionares from different parts of the world visit Serengeti NP, Tanzania.

Jana tarehe 23.07.2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe aliwapokea Mbugani Serengeti Mabilionea 26 wakifuatana na wenzi wao (26) katika ziara yao ya siku 3 nchini Tanzania.

Mabilionea hao wa Club ya YPO (Young Presidents Organisation) wanatoka mabara yote duniani na wako katika ziara ya nchi 8, Uingereza, Rwanda, Tanzania, Maldeves, Nepal, Bhutan, Rajastan na nchi moja nyingine.
Katika hafla ya Chakula cha jioni alicho waandalia Wageni wake Prof. Maghembe aliwakaribisha Tanzania na Maajabu ya Dunia yaliyobebwa na hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Alisisitiza "hakuna eneo lolote katika uso wa Dunia lenye mkusanyiko wa wanyama wanaokula majani (herbivores) na wale wanaokula nyama (canivores) kama Serengeti.
Aidha, Prof. Maghembe aliwaeleza Wageni wake kuwa kuhifadhi ni gharama kubwa inayobebwa na Tamzania kwa niaba ya Dunia. Hivyo akawaomba wageni wawe Mabalozi wa kuitangaza Tanzania kama Destinatiom ya amani yenye vivutio vyenye ubora wa pekee. Hatua hiyo italeta watalii wengi nakuiongezea Tanzania mapato.
Aidha, aliwaomba warudi tena kuwekeza nchini ili washiriki kwenye uchumi unaokuwa kwa wastani wa 7% kwa kipindi cha miaka 15 sasa.
FB_IMG_1500914171770.jpg
FB_IMG_1500914174440.jpg
FB_IMG_1500914176837.jpg
FB_IMG_1500914179651.jpg
FB_IMG_1500914182508.jpg
 
Anga za Nairobi hatuziwezi kweli ,maana badala mjenge majengo yenye floor nyingi mnajenga antennas , by the way ivi Kenya majengo yenye floor 30 na zaidi yapo mangapi

spensa_e
Mawili tu😀😀😀
 
Area ni 0.41sqkm
Tukubaliane hapo kwanza maana Area haiwezi change.
hii kirikuu inaweza ingia Mombasa mara mia sita hiii. ni ukweli au si ukweli?
Mm nimekwambia size ya kariakoo ni zaidi ya city of mombasa katafute data za 2017 na source zinazoeleweka😀😀😀😀
Kariakoo ni mziki mwengine kabisaaa
 
I HAVE A QUESTION, ARE THERE BUILDINGS IN DAR WITH HELIPADS??????????? I HAVE NEVER SEEN ANY
 
LDC kuna nn lakini😀😀😀😀😀

26 billionares from different parts of the world visit Serengeti NP, Tanzania.

Jana tarehe 23.07.2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe aliwapokea Mbugani Serengeti Mabilionea 26 wakifuatana na wenzi wao (26) katika ziara yao ya siku 3 nchini Tanzania.

Mabilionea hao wa Club ya YPO (Young Presidents Organisation) wanatoka mabara yote duniani na wako katika ziara ya nchi 8, Uingereza, Rwanda, Tanzania, Maldeves, Nepal, Bhutan, Rajastan na nchi moja nyingine.
Katika hafla ya Chakula cha jioni alicho waandalia Wageni wake Prof. Maghembe aliwakaribisha Tanzania na Maajabu ya Dunia yaliyobebwa na hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Alisisitiza "hakuna eneo lolote katika uso wa Dunia lenye mkusanyiko wa wanyama wanaokula majani (herbivores) na wale wanaokula nyama (canivores) kama Serengeti.
Aidha, Prof. Maghembe aliwaeleza Wageni wake kuwa kuhifadhi ni gharama kubwa inayobebwa na Tamzania kwa niaba ya Dunia. Hivyo akawaomba wageni wawe Mabalozi wa kuitangaza Tanzania kama Destinatiom ya amani yenye vivutio vyenye ubora wa pekee. Hatua hiyo italeta watalii wengi nakuiongezea Tanzania mapato.
Aidha, aliwaomba warudi tena kuwekeza nchini ili washiriki kwenye uchumi unaokuwa kwa wastani wa 7% kwa kipindi cha miaka 15 sasa.View attachment 549391 View attachment 549392 View attachment 549393 View attachment 549394 View attachment 549395
Tuma link msee...tunadai link inaonyesha hao nimabillionare

sent from iPhone 7
 
Back
Top Bottom