IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Wewe mshamba wa rangi ushai jiuliza kama ni macho yako ndio haiwezi kuona rangiKuna shida ya rangi Kenya majengo mawili apa hayajapata rangi ,its time muanze kuagiza kutoka Tanzania kama tunavyowaletea gas sasa MNA enjoy zamani mlikuwa Kenya mnatumia kerosene
Kenya bana yani tunawaletea chakula mapaka na gas ya kupikia icho chakula mmekaa tu , with the unemployment rate ambayo ina lead dunia ,kwa nn msijikite kwenye kilimo
spensa_e