Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakuu mrudi kwenye thread ,sijui masuala ya samia mara JPM tupeni kule ,mnaharibu uzi kwa kuleta siasa
Kuna mpuuzi mmoja ndiye anayeharibu hii battle, kila akija utasikia anamsifia mama lakini hakosi kutaja watu mara oohh "wazee wa legacy mnaona hiki" mara utasikia "huyo mwendakuzimu wenu hajafanya lolote", sasa hii battle ni ya kuhusu nchi kama anatokea mtu anamkashifu rais wa nchi huwezi kumuacha tu hv hv japo unamvumilia lkn inashindikana cz rais ni nchi.
 
MamBo kama hayo yanavunjaa moyo Ila itabidi tukubaline na halii kuwa mama hawezi kufikia kiwango cha JPM katika ungozi na uo ndio ukweli wala sio dharau wala kumbagua

Hilo ni kweli mkuu , tatizo anazidi kuharibu nchi ndio maana watu tunashindwa kuvumilia.
Anyway haya tusiendelee kuyasemea kwenye huu uzi.
Hatuna Rais kwa sasa.
Battle liendelee
 
Haya tumalize mambo ya siasa humu ndani, kwa anayetaka kumuongelea vyovyote Hayati JPM anakaribishwa uzi huu hapa nimeanzisha, njooni nyie Anti-Magu tupeane vitasa

 
Ukweli utabakia bila jpm saivi tungekuwa tunajengewa sgr kama ya Kenya even more inferior kuzidi ya Kenya bila jpm huyo jamaa anasema sijui uwanja wa msalato pesa katoa maza usingejengwa iyo ring road isingejengwa, jnhp ingebakia kuwa ndoto tuu , mgao wa umeme usingeisha, bila jpm hayo ma flyover tungeyasikiaga kwa jirani tuu, bandari ya tanga na mtwara zingekufa pamoja na ya dar bila jpm reli ya kati na arusha zingekufa
Mambo ni kibao aisee kingine hakuna mtu humu anamchukia wala kumbagua mama ila waswas wa tanzania wengi ni je hataweza kuvivaa viatu vya mtangulizi wake ili tusije tukarudi nyuma kule kwenye awamu 234

Kikwete ametoka madarakani bandari ya dar hoi bin taaban na dalili za kujenga Dodoma hazikuwepo.

Mwamba kafait ile mbaya, tumenunua ndege kibao, na alikua apigi nayo misere kutwa yuko road na wapiga kura wake.

Li maza la hovyo hovyo na ushungi, linapiga misere na midege kila uchao il'hali hamna kitu kichwani, katoa kodi kwa Wazungu na kuwadidimiza raia na mikodi ya ajabu ajabu.
 
Kusema kweli kwa level flani unakosea. Kumbuka JPM hakumaliza muda wake, ilibaki miaka 5.

Uwezi kusema ka feli kufanikisha Jambo flani ambalo lilikuwa kwenye Plan yake wakati alikufa with 5 years remaining.

Angekuwa amemaliza kuda wake au angalau ingekuwa imebaki muda mfupi term yake ya pili kuisha bila kukamilisha au kutoa budget ningesema kafeli.

Ukiangalia alivyofanya in the 1st 5 years, kweli unaona kuwa angefeli kufanya miradi ya Msalato na ring road in his 2nd term kweli?

Zingatia hilo.
Wacha kutetea huo mzoga. The guy failed na ndo maana danganyika iko kwa shida hadi sa hii.
 
nyoo mama hata miezi 6 hajatimiza na katenga fedha zaidi kwa kila sekta, ila Chatogang mpo humu kumuhukumu utafikiri Mungu wenu alikuwa malaika!
Unajua mafisadi papa wote wameachiwa je unajua nini maana yake
 
Kikwete ametoka madarakani bandari ya dar hoi bin taaban na dalili za kujenga Dodoma hazikuwepo.

Mwamba kafait ile mbaya, tumenunua ndege kibao, na alikua apigi nayo misere kutwa yuko road na wapiga kura wake.

Li maza la hovyo hovyo na ushungi, linapiga misere na midege kila uchao il'hali hamna kitu kichwani, katoa kodi kwa Wazungu na kuwadidimiza raia na mikodi ya ajabu ajabu.
Chuki zako hazikupeleki popote bro....
Kutesa kwa zamu yaan, kaa kwa kutulia
 
The kind of roads Kunyaland
Screenshot 2021-09-22 060457.jpg


viraka vya cement!
 
Mbona record za 3b usd kwenye madini hueki tukaona mbona record ya 2.6b usd ya tourism iliovunjwa toka nchii hii ipate uhuru hukuona acha umama wewe usituletee chuki za kiwendawazimu kisa ulizoea pesa za bure sasa zilibanwa unaanza kuhara humu ndani
Mimi naweka rekodi mpya ndani ya miezi sita sio rekodi mlizo struggle miaka 6 ..

Hata hivyo rekodi ya utalii Itavunjwa kadiri Hali ya uviko inavyodhibitiwa..

Rekodi ya mapato ya madini itavunjwa kabla ya mwaka huu viwanda 3 vya kuchenjua madini ya dhahabu vikimalizika na kuanza usafishaji,kana kwamba haitoshi mgodi mkubwa kuliko yote wa madini utaanza uzalishaji wa dhahabu kwa hiyo tega sikio by June 2022 rekodi zitavunjwa zote..

Hata hivyo kwenye dhahabu tuko kwenye hiyo figure 👇

Screenshot_20210922-070823.png
 
KAMA WEWE NI MWANAUME BASI BEHAVE KAMA MWANAUME. KILA SIKU KUMLAUMU MAREHEMU NI DALILI ZA UPUNGUANI NA KUTOKUJITAMBUA AU MWANAUME SURUALI.

KAMA MAGUFULI ALIKUSHIKA PABAYA UKAMCHUKIA HAYO NI MATATIZO YAKO KAA NAYO KIMYA USITAKE NA SISI TUWE SEHEMU YA MATATIZO YAKO.

HAKUNA BINADAMU ANAYEFANYA MEMA TU HAPA DUNIANI HATA BABA YAKO NA MAMA YAKO MZAZI WANAOONGOZA FAMILIA YENU NDOGO KABISA WANAFANYA MAKOSA KIBAO SEMBUSE KUONGOZA NCHI YENYE WATU MILION 60. USIPENDE KUWA MTU WA KULAUMU LAUMU HASA KULAUMU MAREHEMU.
Naweka rekodi sawa pale wazee wa legacy mnapotaka kupotosha in favour of your diseased husband..

Maana mko busy Sana kujaribu kumkwamisha Madam President,nitanyoka na nyie na siachi..call me whatever names you wish.
 
Back
Top Bottom