Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Meanwhile kule Kaskazini huku madeni yameelemea kule njaa,hatari sana na poleni 👇
Pande za New York 👇Huyo jamaa ni mkenya anaeishi Tz. Kamwe hawezi kumpenda JPM
Mko wa wawili au ? Mbona kwenye Uzi huu unalia Lia sana Msaada kuhusu gharama za fundi kujenga nyumba ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi kwenye beamInakuuma Sana? Kuna misumari unaweza meza itakusaidia kwenda chini ya kifusi aliko mumeo Mwendazake..kenge wewe sio kila mtu ni mshamba na mchunga ng'ombe..
Kwani sisi ndio tulimuwekea betri? Alinunua alitoa pesa makalioni kwake? Ungeenda kuzipaki Chato kwenye hekalu lenu..
View attachment 1948021
Mko wa wawili au ? Mbona kwenye Uzi huu unalia Lia sana Msaada kuhusu gharama za fundi kujenga nyumba ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi kwenye beam
Unahangaika bure,utopolo huu hapa 👇Kumbee ndio maana anakomenti utopolo umu sio kwa akili izo 😂😂😂 kujenga nyuma ya vyumba 3 kwa laki nane
tz cannot tell us anything when it comes to matters roads....
Fisadi tu na jizi la tozo anatuletea mambo za UZARENDO MAFII WAKATI MAFISADI ANA WASAFISHA mtu kama Rugem...unamwacheje kutoka jela ,habari ya chini ya kapeti nimesikia hata zile tanzanite kubwa alizo nunua magu watu wa mama wamesha fanya yaoKisa nimchukie? mimi kusema kweli sipendi tabia yenu ya mfumo dume kumbagua Rais kisa mwanamke! Mpeni nafasi! Kama huko kwenu mpo hivyo basi mziache huko huko kanda ya Ziwa!
tz cannot tell us anything when it comes to matters roads.... View attachment 1948094View attachment 1948092then all the cars in these roads are new. not older than 5yrs on time of purchase. thats just but sheer affluence!
nilipata kugundua tz imejaza magari kuu kuu na matuktuk ata mpaka ndani ya cbd
kwaiyo JNIA T3 bila kupepesa macho ni ya JK lakini Bwawa la nyerere ni la JPM na Mama? Still play arrogant anyway,never expect any lessMmeshinda wazee! Hata hiyo hewa unayovuta ni hisani ya JPM! Mbona sibishi uwanja wa Chato na Mwanza jengo la abiria? runway, cargo na control tower JK na uongezaji wa njia za kuruka ndege? Mtwara, Katavi, Dodoma, Tabora na Kigoma? Uwanja wa Ngerengere wa Jeshi Kikwete, JNIA terminal III Kikwete, na modernization KIA na Arusha ni Kikwete, Bukoba Kikwete! Uwanja wa Msalato, Tanga, Musoma, Iringa na Songea Samia! Ndege 11 ni za JPM! Ila 12-16 ni Mama! JNHP mpaka iishe itakuwa nusu JPM na nusu mama!
Huu upuzi wako nenda kawambie uko mtani...ukirudi tutaongea...jinga la mwakaDomo linapigwa na nyie wajane,wazee wa legacy # Sisi ni Kazi na Takwimu tuu
View attachment 1947673
View attachment 1947674
View attachment 1947675
View attachment 1947676
View attachment 1947677
View attachment 1947678
😃😃mmeanza kuiga photoshots ka zenye hua tunapiga
Haya bwana...! Japokuwa nilitaka ahukumiwe siwezi kusema nilitaka ahukumiwe bila ushahidi wa kutosha kama sheria zinavyotaka!Ushahidi gani pesa kubebwa kwenye rumbesa nini ? Wewe ulitaka ushahidi wa kushikwa matako