Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naonewa na nani? Nalalamikia nini? Mimi naweka rekodi sawa pale nyie wazee wa legacy mnapotaka kupotosha..

Tangu lini wazee wa legacy mkamuelewa mama? Ila mpende au msipende Takwimu mtasomewa..
Wewe tu na chuki zako unslazimisha tumchukie Rais Samia wakati co utaratibu wetu, Samia Suluhu Hasan ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania tunalitambua hilo na halipingiki, akifanya vizuri tutamsifia akiharibu pia tutasema kama ambavyo tulikuwa tunafanya kwa Magu pale alipoharibu tulisema bila kupepesa macho japo jamaa alifanya mengi mazuri yn in short alikuwa anatembea na tunes za kitanzania halisi na ndiyo maana ilikuwa ngumu kumkosoa kwa mengi lkn yapo ambayo alikosea na tulisema na bado tunaendelea kusema, mm co hopeless kama wewe, mm co mtu wa kuendekeza siasa cz hazinisaidii isipokuwa nipo kwa ajili ya Tz na co kwa ajili yangu binafsi cz ubinafsi ndio uliotufikisha hapa waafrika.
 
Napendekeza uwanja wa ndege wa Chato alioukamilisha uitwe John Joseph Pombe Magufuli Airport kumuenzi maana Msalato International Airport diserves Samia Suluhu the tag of the first woman President!!
 
Kisa nimchukie? mimi kusema kweli sipendi tabia yenu ya mfumo dume kumbagua Rais kisa mwanamke! Mpeni nafasi! Kama huko kwenu mpo hivyo basi mziache huko huko kanda ya Ziwa!
Hehehehee eti kanda ya ziwa, kwa taarifa yako mm cna uhusiano kabisa na kanda ya ziwa, kwa baba ni nyanda za juu kusini kwa mama ni kaskazini huko, miji yangu origin walipotoka mababu na mabibi zangu wa baba na mama kwa kiasi kikubwa haijaguswa na uwekezaji wa Magu nchini but mm ni mzalendo halisi cz jema linalofanyika Chato sawa cz chato pia ni Tz au jema linalofanyika mtwara poa tu cz nayo ni Tz ambayo naweza kwenda kuishi bila bugudha yoyote, shida inakuja kwenu wazee wa kucheza na nyakati.
 
Napendekeza uwanja wa ndege wa Chato alioukamilisha uitwe John Joseph Pombe Magufuli Airport kumuenzi maana Msalato International Airport diserves Samia Suluhu the tag of the first woman President!!
Hehehehee eti kanda ya ziwa, kwa taarifa yako mm cna uhusiano kabisa na kanda ya ziwa, kwa baba ni nyanda za juu kusini kwa mama ni kaskazini huko, miji yangu origin walipotoka mababu na mabibi zangu wa baba na mama kwa kiasi kikubwa haijaguswa na uwekezaji wa Magu nchini but mm ni mzalendo halisi cz jema linalofanyika Chato sawa cz chato pia ni Tz au jema linalofanyika mtwara poa tu cz nayo ni Tz ambayo naweza kwenda kuishi bila bugudha yoyote, shida inakuja kwenu wazee wa kucheza na nyakati.
 
Aache kuweka mikono mabegani kwa wanawake ni sexual harassment tena kipindi cha corona! Si adabu kama kiongozi! Ni kituko! Protocols lazma zizingatiwe! Mabalozi ni wawakilishi wa marais au ma-waziri wakuu wao au mkuu wa serikali wakuu wao! Etiquette and rapport ni vigezo na masharti ya kuzingatiwa!
2936685_Screenshot_20210921-145024.png


Mbona mama balozi nae kakamata kiuno cha jamaa, hiyo nayo siyo sexual harrasment? Vipi kama jamaa anapatwa na mfadhaiko akishikwa kiunoni na mwanamke.
 
Uliza vizuri.

Swali lako lilipaswa kuwa, "Serikali gani inasimamia ujenzi?"

Miradi ni ya Magufuli, fweza katafuta yeye na plans ni za kwake, na ndio mjenzi.
kwani Kiswahili chako ni finyu namna hii? Unakuwa na mradi wakujenga nyumba na unaufadhili huwa unasemaje kuelezea kitendo hicho?
 
Hilo jengo ni la mda kidogo, lilipokamilika mteja mkuu alikua ni NASACO (Wakala wa Meli wa Taifa) chini ya mzee Odemba (marehemu) baba wa mrembo Miriam na sehemu iliyobaki ilipangishwa na IPP, office ya marehemu Dr Mengi ilikua hapo kipindi hicho.....
Nakumbuka siku walipolichoma moto.
 
si sawa! Ni nje ya protocols! Ukienda ofisi za serikali unaweka kono kwa Wakurugenzi au Makatibu wakuu au Mawaziri?
Hapo hatujui ni nani aliyeanza kumshika mwenzake, huwezi kumnaga jamaa bila kuwa na uhakika.
 
Miaka yote 6 alitekekeleza miradi gani akamaliza? Alisubiria nani amfanyie?

Ndani ya miezi 6 ya mama kila kitu kinaenda vizuri imebakia wazee wa legacy kulalama kama yatima..

Mwendazake hakuweka standard ya uongozi nchi hii ndio maana anapuuzwa.
KAMA WEWE NI MWANAUME BASI BEHAVE KAMA MWANAUME. KILA SIKU KUMLAUMU MAREHEMU NI DALILI ZA UPUNGUANI NA KUTOKUJITAMBUA AU MWANAUME SURUALI.

KAMA MAGUFULI ALIKUSHIKA PABAYA UKAMCHUKIA HAYO NI MATATIZO YAKO KAA NAYO KIMYA USITAKE NA SISI TUWE SEHEMU YA MATATIZO YAKO.

HAKUNA BINADAMU ANAYEFANYA MEMA TU HAPA DUNIANI HATA BABA YAKO NA MAMA YAKO MZAZI WANAOONGOZA FAMILIA YENU NDOGO KABISA WANAFANYA MAKOSA KIBAO SEMBUSE KUONGOZA NCHI YENYE WATU MILION 60. USIPENDE KUWA MTU WA KULAUMU LAUMU HASA KULAUMU MAREHEMU.
 


Last year about 101 planes abandoned at various airports across the country were put on auction to clear rising parking charges after the Kenya Airports Authority declared them a safety risk.
 
You sound more selfish and arrogant...kwqni kila aanae ongelea mema ni wauko chato?

Tutawaachia jukwaa lao mana watu wanakuwa na ndimi mbili, huenda wanalipwa so now wameambiwa wakandie awamu iliyopita.

Mtu unapata wapi ujasiri wa kumkashifu Magu? Leo hii tupo kwenye hii battle kutokana na falsafa za Magu, ungewezaje kupambana na Kenya iliyokuwa imetupita kila kitu kama co Magu kukupa mdomo? Mtu anabisha mambo ya wazi kabisa kwamba mama anaendeleza alichoacha Magu, tukiwaambia watuonyeshe mradi aliouanzisha mama kama mama bado wanaleta ile ile ya Magu.

Watz wengi ni wanafki sana eti leo wamegeuka kabisa, wameanza kumtukana Magu daahhh,huu uzi umekosa ladha kabisa kwangu mana kila nikiingia nakutana na mbwa anamkosea heshima mtu aliyempa nguvu na kidomo domo cha ku comment humu.


Huu uzi ushakuwa wa kipumbavu sn, na kinachonikera mm ni mtu kukataa ukweli kisa tu analipwa buku 7, ngj muda unakuja kuwaachia uzi wao waendelee na mapambio ya uongo maana najua kabisa wengi wao wanajifanya kumsifia mama kinafki ili kuwaumiza wanaompenda Magu, yote hiyo ni sababu ya chuki na wengine ni tamaa ya vipesa vidogo vidogo.

Ndiyo maana hata speed ya ku comment humu imenipungua kwa sababu ya hawa wapumbavu wachache.
Usiwe na presha na keyboard warriors wa jf. Ukitaka kupata ukweli wa jambo hapa bongo hasa masuala ya kisiasa nenda kwa ground (mtaani). Humu kuna multiple ids tena zilizoshikishwa buku tano kusupport hata ujinga. ALI IN ALL TUIPENDE NCHI YETU REGARDLESS NI NANI YUPO MADARAKANI. KWANGU MIMI PAKA NI PAKA TU ILI MRADI ANAWEZA KUFANYA KAZI YAKE YA KUKAMATA PANYA VIZURI NDANI YA NYUMBA.
 
The latest instalment of the Knight Frank Wealth Report shows the number of Kenyans with a net worth of at least $30 million (Sh3.3 billion) including their primary residence, dropped to 90 last year, from 106 in 2019

Kenya’s group of high-net-worth individuals, defined as those with at least $1 million (Sh109 million) including their primary residence, dropped by an even larger margin.

The report says that 912 Kenyans fell out of this club last year when their numbers stood at 3,323 compared to 4,235 in 2019.

 
Naonewa na nani? Nalalamikia nini? Mimi naweka rekodi sawa pale nyie wazee wa legacy mnapotaka kupotosha..

Tangu lini wazee wa legacy mkamuelewa mama? Ila mpende au msipende Takwimu mtasomewa..
Mbona record za 3b usd kwenye madini hueki tukaona mbona record ya 2.6b usd ya tourism iliovunjwa toka nchii hii ipate uhuru hukuona acha umama wewe usituletee chuki za kiwendawazimu kisa ulizoea pesa za bure sasa zilibanwa unaanza kuhara humu ndani
 
Back
Top Bottom