Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua nini maana ya approves?

View attachment 1947396

BTW the issue here ni nani anajenga unataka kuniambia JPM aliyelala pale Chato atajenga ring road na Msalato airport wakati serikali ni ya Samia Suluhu? Mkumbuke mlikuwa mnalazimishia miradi ya JK kuwa ya JPM kama JNIA Terminal 3! Mbona inakuwa ngumu kwenu kukubali hili? Mkuki kwa nguruwe sio? Hata mlidiriki kutaka kubadili katiba kabla term ya kwanza haijaisha as if mlikuwa mnajua ya Mwenyezi Mungu! Tabia iliyokuwa imejengeka ilikuwa mbaya sana!
Aisee umepoteza view km hujaelewa
 
kwani Kiswahili chako ni finyu namna hii? Unakuwa na mradi wakujenga nyumba na unaufadhili huwa unasemaje kuelezea kitendo hicho?

Hivi mkuu unakumbuka ni nyuzi ngapi umefungua humu jf ukisifia miradi ya stiglers gorge, sgr, ununuzi Wa ndege za atcl, Reforms za sera za madini nk na yote ulimmwagia sifa kemkem mwendazake?
Unajua watu kama Nyie ndio huwa mnafanya vijana tuwadharau wazee. Unajiaibisha mkuu. Ungekaa kimya tu .
 
Ukweli utabakia bila jpm saivi tungekuwa tunajengewa sgr kama ya Kenya even more inferior kuzidi ya Kenya bila jpm huyo jamaa anasema sijui uwanja wa msalato pesa katoa maza usingejengwa iyo ring road isingejengwa, jnhp ingebakia kuwa ndoto tuu , mgao wa umeme usingeisha, bila jpm hayo ma flyover tungeyasikiaga kwa jirani tuu, bandari ya tanga na mtwara zingekufa pamoja na ya dar bila jpm reli ya kati na arusha zingekufa
Mambo ni kibao aisee kingine hakuna mtu humu anamchukia wala kumbagua mama ila waswas wa tanzania wengi ni je hataweza kuvivaa viatu vya mtangulizi wake ili tusije tukarudi nyuma kule kwenye awamu 234
 
Mwambie mshikaji wako huyo sijui kapatwa na nn mpaka wakenya umu wanamshangaa anavyojaribu kumchafua jpm
 
Ukweli utabakia bila jpm saivi tungekuwa tunajengewa sgr kama ya Kenya even more inferior kuzidi ya Kenya bila jpm huyo jamaa anasema sijui uwanja wa msalato pesa katoa maza usingejengwa iyo ring road isingejengwa, jnhp ingebakia kuwa ndoto tuu , mgao wa umeme usingeisha, bila jpm hayo ma flyover tungeyasikiaga kwa jirani tuu, bandari ya tanga na mtwara zingekufa pamoja na ya dar bila jpm reli ya kati na arusha zingekufa
Mambo ni kibao aisee kingine hakuna mtu humu anamchukia wala kumbagua mama ila waswas wa tanzania wengi ni je hataweza kuvivaa viatu vya mtangulizi wake ili tusije tukarudi nyuma kule kwenye awamu 234

Huyo ndio wale wazee, inawezekana they are paid kulazimisha maza akubalike,
Ila angeweza kutekeleza adhma yake in a good way bila kuchafua legacy ya JPM ambayo yeye kutwa alikuwa akijipiga nayo kifua humu miezi 6 iliyopita. Unafiki sometimes ni uboya,
Huyu Maza leo nmesikia anarudisha wale watu wenye vyeti feki kwenye nafasi zao,

It takes a high level of mediocrity and significant cognitive malfunctioning kuamini kuwa huyu Maza ana uwezo Wa kuongoza nchi, Haya mambo kina geza pekee ndio wanaweza, japo sijui ni kujitoa ufahamu au ndio hivyo walivyo vichwani mwao.
 
Hivi mkuu unakumbuka ni nyuzi ngapi umefungua humu jf ukisifia miradi ya stiglers gorge, sgr, ununuzi Wa ndege za atcl, Reforms za sera za madini nk na yote ulimmwagia sifa kemkem mwendazake?
Unajua watu kama Nyie ndio huwa mnafanya vijana tuwadharau wazee. Unajiaibisha mkuu. Ungekaa kimya tu .

mtu anatamba uko kwenye uzi Wa kenya sgr vs tz anasahau kwamba bila jpm kuingilia kati tungejengewa sgr ya gari moshi kama ya Kenya
 
Naonewa na nani? Nalalamikia nini? Mimi naweka rekodi sawa pale nyie wazee wa legacy mnapotaka kupotosha..

Tangu lini wazee wa legacy mkamuelewa mama? Ila mpende au msipende Takwimu mtasomewa..
Mzee niliona kwenye threads moja unasema utajenga 3 rooms nyumba kwa 800k . Pia ukawa umalalamika kuhusiana income . Hatuwezi pata wote kwa pamoja . Let's work hard each mzee . Umalalamiks tu
 
Huyo ndio wale wazee, inawezekana they are paid kulazimisha maza akubalike,
Ila angeweza kutekeleza adhma yake in a good way bila kuchafua legacy ya JPM ambayo yeye kutwa alikuwa akijipiga nayo kifua humu miezi 6 iliyopita. Unafiki sometimes ni uboya,
Huyu Maza leo nmesikia anarudisha wale watu wenye vyeti feki kwenye nafasi zao,

It takes a high level of mediocrity and significant cognitive malfunctioning kuamini kuwa huyu Maza ana uwezo Wa kuongoza nchi, Haya mambo kina geza pekee ndio wanaweza, japo sijui ni kujitoa ufahamu au ndio hivyo walivyo vichwani mwao.

MamBo kama hayo yanavunjaa moyo Ila itabidi tukubaline na halii kuwa mama hawezi kufikia kiwango cha JPM katika ungozi na uo ndio ukweli wala sio dharau wala kumbagua
 
Back
Top Bottom