Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tunaongelea Dodoma whether the masterplan is an update of the 1976 au ni brandnew! usianze kukwepa hoja! Ya Dar naijua pia! Hata kuna picha nyingi nili-post humu kuonyesha BRT, flyovers na proposed Ringroads na commuter rail!
Viwanja vinavyouzwa leo dodoma na real estate agents wanatumia masterplan ipi kuuza viwanja?
 
Viwanja vinavyouzwa leo dodoma na real estate agents wanatumia masterplan ipi kuuza viwanja?
kama una akili nzuri hizi ramani mbili 👇 zinaweza kukupa jibu!

Pitia hii document akili za kuambiwa changanya na zako! Kumbuka kila kitu ilikuwa era ni JPM kafanya! Unataka kuniambia Dodoma city yote ni hiyo tu? 👇

👇
 
PROPOSED LAND USE PLAN 2019-2039_page-0001.jpg

VS

master-plan-1-b3c5f.jpg
 
Mimi naambiwa na nani kuhusu issues za serikalini?
huo ni msemo wa kukufunua uone reality unabisha hata na evidence ya ramani! umeshinda baba kwa kumtukuza Marehemu! Vuteni subra ya kumhukumu mama miaka mitano baadae pia na si kama mnavyofanya sasa! Ninaamini kwa kiasi kikubwa kama Rais angetoka huko kanda ya ziwa baada ya JPM kufariki msingepiga kelele!
 
Mkuu bora huende ahera ukabishane na marehemu . Sio ethical kukinzana na mtu aliyefariki . Yake yashapita . Tuendelee alipoishia kwa kurekebisha mapungufu na kuiga mazuri aliyifanya . Usingengua na mapungufu ungekua kama bill gates kila mtu ana mapungufu yake
Wewe acha kukurupuka kama hikafuatilia mtiririko wa naejibizana,kama vipi msaidie sio kuropoka usichokijua.
 
You sound more selfish and arrogant...kwqni kila aanae ongelea mema ni wauko chato?
Mmeshinda wazee! Hata hiyo hewa unayovuta ni hisani ya JPM! Mbona sibishi uwanja wa Chato na Mwanza jengo la abiria? runway, cargo na control tower JK na uongezaji wa njia za kuruka ndege? Mtwara, Katavi, Dodoma, Tabora na Kigoma? Uwanja wa Ngerengere wa Jeshi Kikwete, JNIA terminal III Kikwete, na modernization KIA na Arusha ni Kikwete, Bukoba Kikwete! Uwanja wa Msalato, Tanga, Musoma, Iringa na Songea Samia! Ndege 11 ni za JPM! Ila 12-16 ni Mama! JNHP mpaka iishe itakuwa nusu JPM na nusu mama!
 
Yaani huku saivi panatia kinyaa, Magufuli ndio alieifikisha hii nchi viwango vya juu tulivyopo ni kichaa tu ataepinga hilo

Hata mradi wa ubungo logistics centre, bila Magufuli kuhamishia stand kule Magufuli terminal isingejengwa na mchakato ulishaanza miaka mi4 nyuma ila watu wanakuja kuongea shit hovyo hapa

Kweli huu uzi ni wa kifedhuli saivi na hauna ladha tena, huyu mpumbavu analeta battle ya kipuuzi isio na mashiko pale anapopindisha ukweli kwa mihemko yake binafsi!
Swali linakuja je walikuwa wapi hao viongozi wanaosema wako vzr miaka yote hiyo? Hatukuzoea kasi ya ujenzi namna hii kabla ya kuja Magu, hata jirani dharau walizokuwa nazo zote zimeisha na kuisha kwa dharau za jirani co kwasababu ya maneno ya hapa bali vitu on ground vinaonekana, sasa anapotokea mtu anamkosea heshima mtu aliyeanzisha harakati hizi hatuwezi kukaa kimya.

Huu uzi co wa kisiasa, viongozi wote tunawaheshimu na tunaona kwamba kwa sasa hawajalala kama zamani lkn inapobidi ukweli usemwe kwamba hii yote ni kwasababu ya legacies alizoacha Magu tutake tusitake, au km hawataki mambo ya Magu humu basi wasimguse mana unapomgusa mtu kwa kupindisha ukweli wafuasi wake hawawezi kukuacha, yn ni bora uzi ufe au nileft kuliko kukaa hapa naona mtu akiongea upumbavu wa kupindisha maneno ilihali ukweli anaujua.
 
nyoo mama hata miezi 6 hajatimiza na katenga fedha zaidi kwa kila sekta, ila Chatogang mpo humu kumuhukumu utafikiri Mungu wenu alikuwa malaika!
Wewe Geza Ulole na genge lako ndio mnaopambana kuhakikisha Magu anasahaulika lkn waapiii, hujiulizi huyo unayemchukia wewe mitaani tunapoishi Watz wengi haipiti cku hatujamkumbuka, yn mtapambana sn lkn hamtoweza, jamaa hayupo duniani lkn impacts zake zitawasumbua miaka nenda rudi cz kila mtakachofanya kikiwa kibaya au kizuri raia bado watapiga kelele za Magu mana ndiye muasisi wa Tz mpya mtake msitake.
 
Wewe unataka kuharibu maana ionekane tuna chuki na Mama ila ukweli ni kwamba hatuna chuki yoyote na Samia hata kidogo, akifanya vizuri cc tunafurahi mana anaipigania Tz ambayo ndiyo cc tunaishi.

Kwa mfano hicho ulichobandika hapa ni kitu kizuri na tunajivunia, cc hatuwezi kuwa wapumbavu kama the likes of you eti tupindishe ukweli kwasababu tu aliyepita aligusa maslahi yangu hata kama nilikuwa wrong!!

Wewe ndio chanzo cha kuharibu huu uzi cz huitakii mema hii nchi kwa interest zako binafsi, humu JF kuanzia asubuhi mpaka ucku wewe ni kurushiana maneno na members tu kwanini unakuwa na tabia mbaya namna hii? Yani inaonesha una gubu sana wewe jamaa.

Hakuna siku ukawa positive, wewe ni kulalamika tu na kuona unaonewa, hizo co tabia za mtz kabisa, cku zote wewe ni vijembe kama mtoto wa kike aliye kikao cha kusutana badilika, usipandikize chuki ionekane tunamchukia Rais Samia usiwe hivyo, mambo ya siasa tuliyaacha jukwaa la siasa humu tunaongelea mambo mazuri baina ya Tz na Kenya, lkn wewe kwakuwa ni mshari huwa unakuja humu kuharibu mada za humu, mara utetee Kenya mara Tz hujulikani ni wawapi, watu wa humu wameshindwa kuelewa we ni nani lkn mm nimejaribu kukusoma tabia yako nimegundua wewe una kitu kinaitwa GUBU la mawifi, kama unabisha jaribu kujichunguza maisha yako halisi utaamini ninachokwambia japo kimya kimya.
 
Kisa nimchukie? mimi kusema kweli sipendi tabia yenu ya mfumo dume kumbagua Rais kisa mwanamke! Mpeni nafasi! Kama huko kwenu mpo hivyo basi mziache huko huko kanda ya Ziwa!
 
mention them! Na usitaje miradi binafsi! Kumbuka majengo ya wizara, ring road na Msalato mpaka JPM anafariki fedha ilikuwa haijapatikana! kwa hiyo ni miradi ya Samia Suluhu!
Kusema kweli kwa level flani unakosea. Kumbuka JPM hakumaliza muda wake, ilibaki miaka 5.

Uwezi kusema ka feli kufanikisha Jambo flani ambalo lilikuwa kwenye Plan yake wakati alikufa with 5 years remaining.

Angekuwa amemaliza kuda wake au angalau ingekuwa imebaki muda mfupi term yake ya pili kuisha bila kukamilisha au kutoa budget ningesema kafeli.

Ukiangalia alivyofanya in the 1st 5 years, kweli unaona kuwa angefeli kufanya miradi ya Msalato na ring road in his 2nd term kweli?

Zingatia hilo.
 
Wewe unataka kuharibu maana ionekane tuna chuki na Mama ila ukweli ni kwamba hatuna chuki yoyote na Samia hata kidogo, akifanya vizuri cc tunafurahi mana anaipigania Tz ambayo ndiyo cc tunaishi.

Kwa mfano hicho ulichobandika hapa ni kitu kizuri na tunajivunia, cc hatuwezi kuwa wapumbavu kama the likes of you eti tupindishe ukweli kwasababu tu aliyepita aligusa maslahi yangu hata kama nilikuwa wrong!!

Wewe ndio chanzo cha kuharibu huu uzi cz huitakii mema hii nchi kwa interest zako binafsi, humu JF kuanzia asubuhi mpaka ucku wewe ni kurushiana maneno na members tu kwanini unakuwa na tabia mbaya namna hii? Yani inaonesha una gubu sana wewe jamaa.

Hakuna siku ukawa positive, wewe ni kulalamika tu na kuona unaonewa, hizo co tabia za mtz kabisa, cku zote wewe ni vijembe kama mtoto wa kike aliye kikao cha kusutana badilika, usipandikize chuki ionekane tunamchukia Rais Samia usiwe hivyo, mambo ya siasa tuliyaacha jukwaa la siasa humu tunaongelea mambo mazuri baina ya Tz na Kenya, lkn wewe kwakuwa ni mshari huwa unakuja humu kuharibu mada za humu, mara utetee Kenya mara Tz hujulikani ni wawapi, watu wa humu wameshindwa kuelewa we ni nani lkn mm nimejaribu kukusoma tabia yako nimegundua wewe una kitu kinaitwa GUBU la mawifi, kama unabisha jaribu kujichunguza maisha yako halisi utaamini ninachokwambia japo kimya kimya.
Naonewa na nani? Nalalamikia nini? Mimi naweka rekodi sawa pale nyie wazee wa legacy mnapotaka kupotosha..

Tangu lini wazee wa legacy mkamuelewa mama? Ila mpende au msipende Takwimu mtasomewa..
 
Kusema kweli kwa level flani unakosea. Kumbuka JPM hakuliza muda wake, ilibaki miaka 5.

Uwezi kusema ka feli kufanikisha Jamba flani ambalo lilikuwa kwenye Plan yake wakati alikufa with 5 years remaining.

Angekuwa amemaliza kuda wake au angalau ingekuwa imebaki muda mfupi term yake ya pili kuisha bila kukamilisha au kutoa budget ningesema kafeli.

Zingatia hilo.
Miaka yote 6 alitekekeleza miradi gani akamaliza? Alisubiria nani amfanyie?

Ndani ya miezi 6 ya mama kila kitu kinaenda vizuri imebakia wazee wa legacy kulalama kama yatima..

Mwendazake hakuweka standard ya uongozi nchi hii ndio maana anapuuzwa.
 
Kusema kweli kwa level flani unakosea. Kumbuka JPM hakuliza muda wake, ilibaki miaka 5.

Uwezi kusema ka feli kufanikisha Jamba flani ambalo lilikuwa kwenye Plan yake wakati alikufa with 5 years remaining.

Angekuwa amemaliza kuda wake au angalau ingekuwa imebaki muda mfupi term yake ya pili kuisha bila kukamilisha au kutoa budget ningesema kafeli.

Zingatia hilo.
Ni sawa lakini hiyo haiondoi the fact watu wanamkandia na kumbeza mama isivyo labda kwa machungu yao pamoja na kuji-comit kote kufanya yaliyo kwenye ilani ya chama chake na ahadi za JPM na ambayo yaliyoanzwa na JPM na hayajakamilika yaani miradi ya ujenzi!
 
Back
Top Bottom