Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Picha inajieleza vizuri Sana, 😂Wacha picha zijieleze![]()
The area is full of shacks
Inner roads are not paved
Picha inajieleza vizuri Sana, 😂Wacha picha zijieleze![]()
Wewe acha ubaguzi! Kumbuka Prof. Mbarawa ndiye alisaini mikataba mingi ya Wizara kabla ya kutolewa pale! Na kama alifanya madudu mbona hayajesemwa, kwangu mimi speed yake haijafikiwa na yeyote aliyekuja baada yake! Kosa la JPM ni kupanga watu wake wa kanda pale na kujiona wao tu ndo wanaweza na kuanza ukiritimba! Kuanzia CEO wa TPA mpaka watendaji wengine wa TANROADS walipangwa jamaa wa kule na kukaanza ulaji, kumbuka mradi wa Ring road Dodoma umesainiwa zaidi ya mwaka na fedha zilitolewa na AfDB na mkandarasi kupatikana ila mpaka sasa haujaanza! haikubaliki!
Ni za youtong basihii chassis si ya scania!
Hzo picha nimeiba tzVipicha vya kuokota havikusaidii kitu, mmeshindwa kuleta Fleet hata ya gari 2 mmeanza kuiba pictures Google, leta video kama unataka tuelewane!


Ila utashangaa Air Tanzania ikiendelea kuzubaa na kutopata flying permits kwenda regional routes!Kwenye viwanja vya Ndege wakulungwa flani watatusikiaga tu.
Hapo alipopiga ni ramp na ni kwa ajili ya walemavu pia wale on wheelchair inapaswa wajenge ngazi pia upande wa pili (opposite ya hiyo ramp) ambayo itakuwa fupi!lbda kisa watu wengi hilo eneo .. sijui mmelewa logic yake
ila imenichekesha
Wakuu hii footbridge ya pale Mbagala Rangi tatu mbn sijaielewa? Ndefu mnooView attachment 1936492View attachment 1936493
Sina chuki, tatizo ni wewe hujielewi.Chuki zako ni bure!!
Haitakusaidia kitu ndugu.
Meza wembe bro....
hawa wavhina ni miyeyusho ,ngoja ikamilike tuonelbda kisa watu wengi hilo eneo .. sijui mmelewa logic yake
ila imenichekesha
Piga chini takataka zote za Mwendazake zinakwamisha mipango na upumbavu wao wa legacy..Wewe acha ubaguzi! Kumbuka Prof. Mbarawa ndiye alisaini mikataba mingi ya Wizara kabla ya kutolewa pale! Na kama alifanya madudu mbona hayajesemwa, kwangu mimi speed yake haijafikiwa na yeyote aliyekuja baada yake! Kosa la JPM ni kupanga watu wake wa kanda pale na kujiona wao tu ndo wanaweza na kuanza ukiritimba! Kuanzia CEO wa TPA mpaka watendaji wengine wa TANROADS walipangwa jamaa wa kule na kukaanza ulaji, kumbuka mradi wa Ring road Dodoma umesainiwa zaidi ya mwaka na fedha zilitolewa na AfDB na mkandarasi kupatikana ila mpaka sasa haujaanza! haikubaliki!
Saizi alisalia kupayuka na kutoa matamko ambayo hayatekelezeki ,piga chini..bado yule wa madini na WA Sheria..Huyohuyo Kalemani kashindwa kurudisha negotiations za LNG Lindi na alipewa miezi sita! Mama ana haki ya kuweka mtu anayemtii pia kama JPM alivyopangua na kuweka wanaomtii tena wa kanda yake! Tuache kuhukumu na kudhani wale wa JPM ndo wanafaa tu! Nyie watu wa kanda msitufanye sisi wapumbavu kutetea ulaji wenu hii nchi yetu soote, waacha anyoroshe.....!!
Wizara inasubilia nini kulipa fidia?mradi wa ring road haujaanza sababu ya fidia sio sababu nyingine.. mama kaongelea leo
Sina chuki, tatizo ni wewe hujielewi.
Mimi nina upendo mkubwa na wa dhati kwa nchi kuliko mtu.
Jambo pekee litakalo ipeleka nchi mbele ni mapenzi yetu kwa nchi yetu, na sio mapenzi wala chuki dhidi ya mtu.
Anza sasa kujitathmini na kujitambua.
Nchi haiko kwenye mikono salama.
Hii ni post yangu kwa Dr Makame.
Nyinyi ndio majizi mmerudi kazini ,muitafune nchi kama mchwa, na msidhani kama sisi wananchi ni wajinga sana, lakini dawa yenu inachemka soonPiga chini takataka zote za Mwendazake zinakwamisha mipango na upumbavu wao wa legacy..
Kadiri mda unavyoenda atawapuruni wote