Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wa Arusha watapinga hii kauli yako wewe.., big ain't better.., such a backward town ndio eti imeendelea kwa muonekano wako?.., inTanzania hakuna developed city, narudia hakuna!
Sibishani na mpuuzi ambae hiyo miji yote anaishia kuiona kwenye picha, fika kwanza ndio uelewe nnachomaanisha, picha za drone zisikuongopee, Mwanza ni nzuri kuanzia usafi na kila kitu, hizo hapo chini ni picha nimepiga kwa mkono wangu 👇, na wewe kama umewahi fika Arusha leta picha za kufanana na hizi uko Arusha
IMG_20210327_182233_564.jpg
2925453_IMG_20210327_175551_608.jpg
IMG_20210703_144037_816.jpg
and these are some of beautiful things in Mwanza 👇 . . . . Mimi ni mtanzania ambae Nimeishi majiji yote hapa Tanzania nayajua nje ndani, mjinga kama wewe mpiga nduru me nakudharau tu

IMG_20210327_175551_608.jpg
 
Yah!!kw sababu iko na space ndani, 10seater.....
Viti vikubwa vya leather mpka leg room ndani dereva na aburia tu hakuna konda alafu uje ulinganishe na coaster ya kusima simama kila sehemu hku konda akijipigia mayowepole sana
Kwani ukikubali kwamba nyie mpo nyuma yetu miaka 10 kwenye mambo ya usafiri na usafirishaji utakufa.? 😂😂😂
 
Kwani ukikubali kwamba nyie mpo nyuma yetu miaka 10 kwenye mambo ya usafiri na usafirishaji utakufa.?
Shuttles hazina konda mzee
Mbele dereva na abiria mmoja, nyuma abiria tisa viti vyote vikubwa vya leather alafu uje ulinganishe na upupu wa coaster plus mayowe ya konda..pole sana
 
Shuttles hazina konda mzee
Mbele dereva na abiria mmoja, nyuma abiria tisa viti vyote vikubwa vya leather alafu uje ulinganishe na upupu wa coaster plus mayowe ya konda..pole sana
Kwenye hivyo vipanya
no TV,
no movies,
no emergency door,
no surveillance camera for my safety and luggage,
no movies,
no cooler for my drinks,
no expansive windows for touring, no dustbin on board,
no leg rest,
no legroom,
no overhead suitcase carrier,
no lower roof luggage carrier,
no fancy lighting,
no air conditioning,
no flopping tables,
no toilet,
no bus attendant for assistance,
no free drinks,
no snacks,
no 2*2 / 2*1 seat
no bending seats,
no overhead lamps and speakers,
no charging ports,

Huwezi fananisha huo ushubwada na usafiri wa Tanzania.
 
Sibishani na mpuuzi ambae hiyo miji yote anaishia kuiona kwenye picha, fika kwanza ndio uelewe nnachomaanisha, picha za drone zisikuongopee, Mwanza ni nzuri kuanzia usafi na kila kitu, hizo hapo chini ni picha nimepiga kwa mkono wangu 👇, na wewe kama umewahi fika Arusha leta picha za kufanana na hizi uko ArushaView attachment 1935972
2925453_IMG_20210327_175551_608.jpg
View attachment 1935976and these are some of beautiful things in Mwanza 👇 . . . . Mimi ni mtanzania ambae Nimeishi majiji yote hapa Tanzania nayajua nje ndani, mjinga kama wewe mpiga nduru me nakudharau tu

View attachment 1935973

wacha kuabisha Tanzania, ficha huu mji, umechoka, muundo wa kizamani sana 😂 😂 😂 .., naifahamu vipoa sana., domo domo zako hazibadili ukweli, Arusha has better looks.., huu umechoka!
Look at the clip wewe mwenyewe umeanika hapa., can't convince you., kama mnaona Dar is developed! hilo jiji kubwa uchwara on average ni nini hauwezi kuniambia wewe., a broken clock is correct twice a day., so pia Mwanza ina sehemu za kupendeza., but way below Arusha, meza wembe.
Mwanza hio😂😂😂😂 ungeficha video clip kama mnavio fanya Dar is slum.., aibu.
 
wacha kuabisha Tanzania, ficha huu mji, umechoka, muundo wa kizamani sana 😂 😂 😂 .., naifahamu vipoa sana., domo domo zako hazibadili ukweli, Arusha has better looks.., huu umechoka!
Look at the clip wewe mwenyewe umeanika hapa., can't convince you., kama mnaona Dar is developed! hilo jiji kubwa uchwara on average ni nini hauwezi kuniambia wewe., a broken clock is correct twice a day., so pia Mwanza ina sehemu za kupendeza., but way below Arusha, meza wembe.
Mwanza hio😂😂😂😂 ungeficha video clip kama mnavio fanya Dar is slum.., aibu.

Tafuta slum mwanza uniletee
 
Tafuta slum mwanza uniletee
Kama kwa akili ya mitanzania zuzu kama wewe utasema hizi za dar 👇 👇 sio slum., sasa unataka nini tena?.., Mwanza pia utasema sio slums, akili za wengi wenu zimeganda haziambiliki chochote.,tunatembea nanyi mlivyo.., so Tanzania hakuna slums😂😂😂.., tulia kaka hizi👇 sio slums..,😂😂 ni standard ya taifa kwa sasa.., mido income
1631536269728.jpeg

1631535908443.jpeg

1631535927407.jpeg

1631535952051.jpeg


Mwanza kionjo tu.., pia mie nimeona hakuna slum ni mashambani tu..,
Rock City
1631536491280.png

1631536306467.png

1631536335323.png
 
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anateuliwa na nani?
Hata Zambia pia anateuliwa na rais lakini wapinzani wanashinda. Mbona majaji wanateuliwa na rais lakini wapinzani wanashinda kesi nyingi tu, mbona wapinzani walishinda viti vingi vya ubunge na madawani kipindi cha Lowasa ilhali tume imeteuliwa na rais?
 
Sasa kama kumiliki hivyo vipanya mpaka muunde group kubwa kuna mkenya ataweza kushusha vyuma kama hivi kwa wingi huu kwa mkupuo? Sababu chuma kimoja hiki ni hivyo vipanya 50

Unajua maana ya sacco wewe au ndio umeanza kuskia leo
 
Nilikua nafanya ksutafiti changu kadogo aisee nimegundua Kunyaland kwenye sector ya usafiri wapo stone age sana, komora096 naomba ufafanuzi na Teargas kwenye hii tofauti ya usafiri kati ya Tanzania na Kunyaland, Mbona ni mbinguni na chooni? 😅😅😅

Twende kazi!

Yaani mtanzania anaesafiri umbali mrefu mara 2 ya mkenya kwenye VVIP Bus, analipa nauli pungufu kuliko mkenya anaesafiri umbali mfupi nusu ya mtanzania aliepanda VVIP bus, huku huyo mkenya akiwa kapanda kipanya, jionee

🇰🇪

Screenshot_20210913-154913~2.png
Screenshot_20210913-154810~2.png
Screenshot_20210913-154739~2.png
images - 2021-09-12T195432.354.jpeg




🇹🇿
Screenshot_20210913-155005~2.png
Screenshot_20210913-154658~2.png




It's 45k lakini bado ni cheap sana compared to Kunyaland side

Wakunya ninyi bado sana 😅😅
 
Sasa wakija watano wenye mabegi kama hayo si kigari kishajaa hicho?

Mbongo kwanza akitoka atokako kwenda destination yake anabeba mazaga ya kufa mtu, mara mchele, karanga, mafuta ya alizeti, asali, matunda bado huko njiani haja ongeza vya kununua barabarani, ataenea vipi kwenye hicho kigari?
Kumbe hata hamjui km shuttles zinatumikaje
Mungu wangu, uliskia shuttles ni za wana familia...
Hzo ni vitu vya watu flani, una shughulizako kilifi na upo mombasa unaingia tinta umefika na unarudi
 
Back
Top Bottom