😅😅😅😅Kama kwa akili ya mitanzania zuzu kama wewe utasema hizi za dar 👇 👇 sio slum., sasa unataka nini tena?.., Mwanza pia utasema sio slums, akili za wengi wenu zimeganda haziambiliki chochote.,tunatembea nanyi mlivyo.., so Tanzania hakuna slums😂😂😂.., tulia kaka hizi👇 sio slums..,😂😂 ni standard ya taifa kwa sasa.., mido income
View attachment 1936089
View attachment 1936082
View attachment 1936084
View attachment 1936085
Mwanza kionjo tu.., pia mie nimeona hakuna slum ni mashambani tu..,
Rock City
View attachment 1936094
View attachment 1936091
View attachment 1936092
Vipanya vyote hivyo vinamilikiwa na ushirika na sio vya mtu binafsi, ushahidi huu hapaUnajua maana ya sacco wewe au ndio umeanza kuskia leo
Hata vikivunjwa kiundwe chama kimoja utashiriki uchaguzi kwa katiba ipi na tume ipi ya uchaguzi? Kesi ya nyani unampelekea ngedere unategemea nini? Maana katiba inampa raisi mamlaka ya kuwa caretaker president wakati wa uchaguzi hivyo vyombo vyote vya ulinzi na usalama bado viko chini yake utachukuaje nchi hapo embu tueleze labda una njia mbadala.Licha ya kuminywa lkn iko wazi kabisa upinzani wa nchi hii haujitambui kabisa, mara ngp tunaona scenarios za kimalaya za upinzani? Upinzani unashindwa nn kuvunja vyama vyao na kuunda chama kimoja kitakachopambana na CCM kama kweli wapo serious? Unadhani Chadema au ACT au CAFU inaweza kuitoa madarakani CCM? Hakuna upinzani Tz kuna wachumia tumbo tu.


Unaingia umeinama pia no accessibility for physically challenged personsKwenye hivyo vipanya
no TV,
no movies,
no emergency door,
no surveillance camera for my safety and luggage,
no movies,
no cooler for my drinks,
no expansive windows for touring, no dustbin on board,
no leg rest,
no legroom,
no overhead suitcase carrier,
no lower roof luggage carrier,
no fancy lighting,
no air conditioning,
no flopping tables,
no toilet,
no bus attendant for assistance,
no free drinks,
no snacks,
no 2*2 / 2*1 seat
no bending seats,
no overhead lamps and speakers,
no charging ports,
Huwezi fananisha huo ushubwada na usafiri wa Tanzania.
Yah ndio maana huwa nasema upinzani wa Tz ni wachumia tumbo.Hata Zambia pia anateuliwa na rais lakini wapinzani wanashinda. Mbona majaji wanateuliwa na rais lakini wapinzani wanashinda kesi nyingi tu, mbona wapinzani walishinda viti vingi vya ubunge na madawani kipindi cha Lowasa ilhali tume imeteuliwa na rais?
wengi mna roho ya kichawi na kishetani hatutarajii pole zenu za kinafiki., regardless we rule u idiots.yan hadi inafika sehem hatuwapi pole tena.. tunabaki tunawacheka tu
wanajenga ghorofa kama wanajenga mabanda ya kuku
View attachment 1936136
View attachment 1936137
View attachment 1936138
View attachment 1936139
Yah!!kw sababu iko na space ndani, 10seater.....
Viti vikubwa vya leather mpka leg room ndani dereva na aburia tu hakuna konda alafu uje ulinganishe na coaster ya kusima simama kila sehemu hku konda akijipigia mayowepole sana
Hehehee!!jamaa si mje mumuelimishe huyu sukuma gang jamani..Vipanya vyote hivyo vinamilikiwa na ushirika na sio vya mtu binafsi, ushahidi huu hapa
Tanzania yoote kwa wingi na ukubwa ni ushuzi hilo mbona liko wazi sana! haifichiki., us tuna weka mambo wazi wazi, good and bad., nyie mnaficha lakini wapi, mgeni mara ya kwanza anakutana na uchochole ulio tapakaa kote kote, anaona mlivyo fukara.., jiangalie wacha Kiswahili., can't waste my time in Tz., tumewafumania ya kutosha sasa ni domo domo, nothing meaningful to show.., tulia punguza kiherehere 😂 😂 😂😅😅😅😅
Kwanza pole kwa kusaka slums mwanza kwa zaidi ya masaa mawili na bado ukaikosa 😂😂
Pili pole kwa kukosa slums mwanza mpaka ukajiliwaza kwamba mwanza ni kijijini 😅😅😅
Tatu mombasa imebarikiwa kuwa na slums nyingi na kubwa kiasi Huwezi kutumia masaa yote mawili kama mwanza na bado ukose, mombasa zipo slums za kufa mtu hivyo kaa kimya na ukubali Mwanza hakuna slums
Mji mkubwa wa pili Tanzania hauna history ya slums lakini Kunyaland slums kila baada ya hatua 😅😅
View attachment 1936128View attachment 1936129
Hakuna kampuni iliyobase dar moro km unabisha niletee hapa km vile kampuni iliyobase na route ya arusha nairobi..Mimi Bado nashangaa jana ulivyokuwa unanisha kuwa hakuna companies zenye Luxury buses zinazosafiri route ya Dar Moro,
Ndio maana nakwambia uhamie huku paradiso.
Njoo umsaidie mwenzako hku maana ya sacco
Bwahaha!!narudia tena, unajua maana ya shuttle kwanza before tuje hko nikuumbue zaidiKwenye hivyo vipanya
no TV,
no movies,
no emergency door,
no surveillance camera for my safety and luggage,
no movies,
no cooler for my drinks,
no expansive windows for touring, no dustbin on board,
no leg rest,
no legroom,
no overhead suitcase carrier,
no lower roof luggage carrier,
no fancy lighting,
no air conditioning,
no flopping tables,
no toilet,
no bus attendant for assistance,
no free drinks,
no snacks,
no 2*2 / 2*1 seat
no bending seats,
no overhead lamps and speakers,
no charging ports,
Huwezi fananisha huo ushubwada na usafiri wa Tanzania.


Unajua purpose ya shuttle au na wewe umekuja kubishana tuWhatever the language you want haibadilishi maana kwamba mna usafiri wa kipumbavu Africa nzima, hata Burundi wamewapiga gap
Huwezi amini wanalundikwa 25 humu kwenye kipanya safari ya saa 8Unaingia umeinama pia no accessibility for physically challenged persons
Muundo wa Zambia Electoral Commission ni tofauti na wa Tanzania. Yes the president appoints electoral commission president but the president and the commissioners apointments have to be ratified by Parliament and reports to Parliament not anybody else.Hata Zambia pia anateuliwa na rais lakini wapinzani wanashinda. Mbona majaji wanateuliwa na rais lakini wapinzani wanashinda kesi nyingi tu, mbona wapinzani walishinda viti vingi vya ubunge na madawani kipindi cha Lowasa ilhali tume imeteuliwa na rais?
www.ecfsadc.org
Ninyi bado sana kwanza fukara mnoHehehee!!jamaa si mje mumuelimishe huyu sukuma gang jamani..
Yani hata sacco hujui zinafanyaje, Mungu wangu..
Elimu ya bongo ni mzigo
Ninyi bado sana kwanza fukara mnoHehehee!!jamaa si mje mumuelimishe huyu sukuma gang jamani..
Yani hata sacco hujui zinafanyaje, Mungu wangu..
Elimu ya bongo ni mzigo