Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
A coincidence?
MY TAKE
Kwa jinsi huyu Bwana Abdulsamad alivyo karibu na Samia Suluhu Hassan (hana cheo serikalini ila kila mahala yupo hata juzi anaonekana huko Royal Tour) ikumbukwe Wizara ya Nishati ili-denounce hii taasisi ya ATOGS katika kujipambanua na kazi za EACOP na pia hata Dr. Matarajio alitolewa na kurudishwa. Haya mabadiliko ya baraza hili, naona kama yanajengwa mazingira ya huyu jamaa kupewa tender za EACOP na LNG kupitia Makamba! Time will tell though, mafuta ya Zanzibar tuliambiwa hata kama hayajai kikombe cha kahawa si ya Muungano ila miradi ya Bara naona kizungumkuti kinajengwa kuja kunufaisha jamaa wa visiwani sio! In short sioni goodwill kwenye hili!

mfuatiliaji na anatoa updates sana