babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Wanaitamani BRT ya bongo.
Mkuu tatizo la katiba iliyopo ni lipi hasa linalozuia wapinzani kuishinda CCM?Tungekuwa na upinzani wenye kujitambua basi hiki ndio kingekuwa kipindi chao cha kuchukua nchi, lkn hata hivyo shida inaanzia kwenye katiba, hili katiba letu bovu linaruhusu Watz kuongozwa hata na mbwa as long as amekubalika na chama.
hili lilijulikana tu na walishalichambua wadauSeriously
Watu wa Arusha watapinga hii kauli yako wewe.., big ain't better.., such a backward town ndio eti imeendelea kwa muonekano wako?.., inTanzania hakuna developed city, narudia hakuna!Ila nyie wakenya mnachekesha sana 😂😂 hujawahi kufika hiyo miji so huna unachojua, Mwanza imeendelea zaidi kuliko mji wowote Tanzania ukiitoa DSM, by the way nimefanya kazi Arusha after form six, nimesoma chuo Mwanza miaka mitatu likizo zote nimetumia Arusha, naijua hiyo miji nje ndani, Tafuta nauli uje mimi ntakua mwenyeji wako, Ili ujionee ambavyo Mwanza imeendelea, hivyo vipicha visikudanganye.. kenyans kumbe mnasumbuliwa na kuto tembea..watu wa Arusha huwa wanaenda Mwanza kwaajili ya kutafuta maisha, biashara na starehe..
Asante kwa render😄😄😄Another new kid on the block, the 1870 west launched in westlands nairobi on 8th, september 2021. 30 floors x 2
View attachment 1935832
View attachment 1935833
View attachment 1935836
Cv sio issue sanaanafaa sana! Angalia CV yake!
Cv sio issue sana
Afisa wa uhamiaji hujamboWe **** sio mtanzaniaKumbe vitu vyenyewe mpaka uingie google
, tembea bwege wewe, kwanza videos umeziangalia hizi au huna bundle.?
.. tembea choko wewe uache kujificha kibera .. hakuna jiji lolote Tanzania ambalo halina dual carriage way, sehem yoyote tz ambako kuna hadhi ya jiji dual carriage way zipo fala wewe..


Kenge kabisa yani, hujamwambia poaYaani nitembee kwa ajili ya kukupigia picha wewe? Una akili timamu wewe?
Prof google na teknolojia vipo kwa ajili gani? Waliokuzaa Wana hasara..
Nimesema onyesha barabara sitaki maneno maneno hapa nikiwa Ttzn au nisipokuwa Mtzn wewe inakusaidia nini?
Hapo Mwanza hakuna kitu ni Jiji uchwara hilo kenge wewe.
cc ichoboy01 😂 😂 😂Yanga mnatia aibu taifa... mnatukosesha Tanzania kuingiza timu nne msimu ujao..
Maskini, kumbe hata maana ya shuttle hujui alafu unakuja kupiga kelele hapa..Angalia reply yangu hapo juu kabla ya hiyo nimekwambia shuttle ni kutoka city kwenda Airport hapo hata nilikua sijagoogle!
Mzee shuttle ndio core context hata useme shuttle punda kama zile za lamu na mombasani![]()


Jamaa kumbe zero brain aisee, yani hata google kumbe hajui kutumiaYeah, hiyo comment yako ya awali niliona na ndio maana nikakuita mjinga. Shuttle is just to move from one place to another, sio lazima iwe airport ama hotel. Even travelling from one city to another is shuttling. Wewe baki tu na uchawi wako juu hakuna kitu unajua![]()