No wonder covid 19 cases ziko juu sana KEHuwezi amini wanalundikwa 25 humu kwenye kipanya safari ya saa 8
View attachment 1936159
Wakati Tanzania 1 by 1 luxury coach Dar Moro kwa 10k tu unaenda umerelax full kipupwe, free soda ndani humo mna toilet, movies, games kama zote, Tanzania tupo mbali