Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
We **** umeshawahi kufika Mwanza.? 😂😂😂, Eti Mwanza hakuna dual carriage way we ni matako nini.? Arusha is nothing compared to Mwanza hiyo miji yote nimeishi naijua in and out, Mwanza imeendelea na sana, eneo la jiji la Mwanza ni wilaya mbili (Ilemela na Nyamagana), inaonekana wewe ni mpumbavu wa kikenya unaejitia utanzanzia, hakuna mji wa kulinganisha na Mwanza hapa tz nyuma ya DSM, ukibisha twende ground tueke battle ya Mwanza vs Arusha, alafu uone kama Arusha inatoboa.. nimefanya kazi Arusha, nimesoma Mwanza miaka mitatu, yani wewe ni fala tu kwangu kwenye kuijua hiyo miji, mana hakuna viwanja vya stareh sijaingia in both cities.. hiv ukitoa barabara ya Arusha Moshi ni kitu gani kingine unaweza kushindanisha na Mwanza...? kwenye majengo marefu both cities hakuna, ni hivyo hivyo vigorofa kumi kushuka chini, kila mji Kati ya Mwanza na Arusha kuna jengo refu moja tu ambapo Mwanza ni jengo la gorofa 17 while Arusha ni jengo la 18 floors .. Mwanza Ina Mall kubwa kuliko malls zote za DSM, uje ulinganishe na ka Arusha, we ni fala nini.? Mji una watu zaidi ya 1.2m uje ulinganishe na mji wa watu 400k kweli.? We ni matako wa kikenya huijui Tanzania alafu unajifanya mtanzania 🖕, wachaga, wamasai, wameru kibao wanakimbilia Mwanza kutafuta maisha alafu unanibishia we **** ambae hujawahi kufika hata iyo Mwanza yenyewe.? 🖕Wakenya mnadanganywa kweupe,mwambie huyu jamaa aweke drone footage ya Mwanza na Arusha hapa muone wenyewe.
Kijiji cha Mwanza ukiacha kwamba kimejaa uswazi hakina barabarani zozote za dual carriage hata moja na wala hakina majengo marefu kulinganisha na Arusha..
Kelele za Sasa ni kile kidaraja kinachojengwa sasa na sgr tuu nothing else rather than slums.
The only City to watch out of Dar ni Dodoma tuu ambayo iko underconstruction.
😁😁 Mapovu ya kufulia nguo,Huwa sitaki maneno,tupia picha ya dual carriage road hapa iliyopo Mwanza sio kutukana hovyo kama umebakwa..We ** umeshawahi kufika Mwanza.? 😂😂😂, Eti Mwanza hakuna dual carriage way we ni matako nini.? Arusha is nothing compared to Mwanza hiyo miji yote nimeishi naijua in and out, Mwanza imeendelea na sana, eneo la jiji la Mwanza ni wilaya mbili (Ilemela na Nyamagana), inaonekana wewe ni mpumbavu wa kikenya unaejitia utanzanzia, hakuna mji wa kulinganisha na Mwanza hapa tz nyuma ya DSM, ukibisha twende ground tueke battle ya Mwanza vs Arusha, alafu uone kama Arusha inatoboa.. nimefanya kazi Arusha, nimesoma Mwanza miaka mitatu, yani wewe ni fala tu kwangu kwenye kuijua hiyo miji, mana hakuna viwanja vya stareh sijaingia in both cities.. hiv ukitoa barabara ya Arusha Moshi ni kitu gani kingine unaweza kushindanisha na Mwanza...? kwenye majengo marefu both cities hakuna, ni hivyo hivyo vigorofa kumi kushuka chini, kila mji Kati ya Mwanza na Arusha kuna jengo refu moja tu ambapo Mwanza ni jengo la gorofa 17 while Arusha ni jengo la 18 floors .. Mwanza Ina Mall kubwa kuliko malls zote za DSM, uje ulinganishe na ka Arusha, we ni fala nini.? Mji una watu zaidi ya 1.2m uje ulinganishe na mji wa watu 400k kweli.? We ni matako wa kikenya huijui Tanzania alafu unajifanya mtanzania 🖕, wachaga, wamasai, wameru kibao wanakimbilia Mwanza kutafuta maisha alafu unanibishia we ** ambae hujawahi kufika hata iyo Mwanza yenyewe.? 🖕
Point ni kwamba, route ya Dar - Moro ina very luxurious buses than any route in Kunyaland.Acha kudanganya wewe, dar moro ni zaidi ya 2hrs...we unaichukuliaje 200km ama unataka kusema basi lita maintain speed ya 100km/h mwanzo mwisho
Haha sio nakuru eldoret bali ni Nairobi eldoret via nakuru sababu hivyo vipanya vipo Nairobi hapo so more kilometres[emoji33][emoji33][emoji50][emoji50][emoji50] nyie mbona maaajabu haya..
Nakuru-Eldoret (156km) wanatumia hizi daladala?
View attachment 1934756
View attachment 1934760
sisi kwetu.. Mbezi Mwisho Bus Stop-Mbagala Mwisho Bust Stop
View attachment 1934770
(45km ..umbali mkubwa kuliko wote wa daladala kutembea) hizo daladala ndogo za kikenya haziruhusiwi..
zinaruhusiwa haya magari makubwa makubwa kama haya na vidaladala vidogo haviruhusiwi.. lkn kenya 156km zinatumika vikirikuu[emoji33]
View attachment 1934778
kwa hili hakika nawapongeza ile mamlaka ya kusimamia usafiri wa ardhini (LATRA).. hakika kwa hili nimeona umuhimu wao
Usiongee kitu usichokijua utaibika siku nyingine huku tz kila basi lina specific route yake na leseni yake toka land transport Agency pia all buses are fitted with GPS tracker surveillance system ya Traffic police huwezi badilisha route.
Wacha ubishi wa kijingaHivi kw mfano unatoa wapi nguvu za kukasirika jf
As usual from PDU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]MV Uhuru I is longer than any ship in Tanzania [emoji23][emoji23]
Wew kijana una matatizo.[emoji16][emoji16] Mapovu ya kufulia nguo,Huwa sitaki maneno,tupia picha ya dual carriage road hapa iliyopo Mwanza sio kutukana hovyo kama umebakwa..
Ukiipata naacha kuchangia,hicho kijiji uchwara cha Mwanza sisimuliwi we kenge.
Go to international ship data and registration utapata ukweli usipende kula kila kitu toka PDUSorry, I don't deal with Wikipedia [emoji23][emoji23]
😁😁 Ukipata road kama hii hapa 👇 hapo Jiji uchwara nahama UziWew kijana una matatizo.
Huoni aibu unapingwa wew tu[emoji23][emoji23]
Hakuna maneno unaweza ongea kurahisisha safari ya 500km kutoka Nairobi mpaka eldoret ndani ya hivyo vipanyaHzo ni intercounties mzee[emoji1787]
Ukiambiwa Nakuru eldoret basi ni lazima ifike eldoret, private sector kenya watu hutumia akili..
Shuttles nyingi zina interconect na kuapatia abiria nakuru na kupiga u-turn..
Nakuru na eldoret zote zipo region moja mzee, utafutaji wa hela unahitaji akili na kucheza na mipango vile vile..
Mabasi ya mkoa to mkoa hayo hapo
unajipa tabu mkuu kumuelekeza katuniKwahio huamini kama kuna bus special za Dar-Moro? Abood bus kaanza kwenda Dar-Moro tangu mimi niko primary school.
hata mimi naonaKenya marufuku gari za nje kuingia zilizopitiliza miaka minane kwenda..
Huyo jamaa ni mshamba sana, mbishi na hapendi kujifunza Dar moro ni rout yenye abiria weng sana na inayolipa kuliko rout nying za hapa bongo.Point ni kwamba, route ya Dar - Moro ina very luxurious buses than any route in Kunyaland.
Ndio maana huwa wanashangaa tunaanza route ya SGR Dar Moro mahesabu wanapiga kulinganisha na kwao. Sisi huku tunasafiri sana kila siku.Huyo jamaa ni mshamba sana, mbishi na hapendi kujifunza Dar moro ni rout yenye abiria weng sana na inayolipa kuliko rout nying za hapa bongo.
Shuttle ni interconnecting transport where there is no proper scheduled transport between the two locations.Wewe ni mjinga kweli, unajua hata "shuttle" inamaanisha nini as far as transportation is concerned?
What is 41% shares on a two small planes company.I'm sure you also don't know that KQ has 41% shares in Precision Air[emoji23][emoji23], yani uchumi wa Tanzania imeshikwa na wakenya. Starting from Banking, media, Aviation, manufacturing, education, construction, management etc.
Ruto kazi yake ni ku-import refined sugar then kupelekea wakulima wa miwa wheelbarrows!Mambo kwa ground.