Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,089
- 31,314
Watu walikuwa wanamsingizia magufuli kumbe ccm bila ya magufuli ndiyo upumbavu wenyewe kuna mipango inafanyika hadi JF itakuwa hadi VPN mother ni mpumbaavu sana huyutwitter is down au TCRA washafanya yao mpka uwe na VPN? au ni simu yangu [emoji1787]