na mim nimepita huko kutoka regent kairuki kwenda posta .. hizi ndo nilipiga
imekaa vyema sana,,,wale wazee wa fly toilet wanapaswa kujifunza zaidiA true three levels flyover in Kampala
![]()
![]()
![]()
MY TAKE
Kunyaland has something to learn about quality work!
imekaa vyema sana,,,wale wazee wa fly toilet wanapaswa kujifunza zaidi
We don't host local, we host international... Over 'n' out! 🤣 🤣 🤣 🤣hii timu bumamuru kutoka Burundi itacheza mchezo wao wa CAFCC uwanja wa Azam ijumaa .. hawajachagua kenya wala uganda
View attachment 1929152
Azam nao wanacheza mechi ya CAFCC yao jmosi
View attachment 1929153
Kuna hii timu KMKM kutoka Zanzibar wana mechi ya CAFCL jmosi uwanja wa Aman, Zanzibar
View attachment 1929157
Jpili Yanga nao wataingia dimban kwenye mechi ya CAFCL
View attachment 1929154
”it will be the most busiest international weekend in Tanzania football sport out of whole Africa” if ningekuwa mkenya![]()
Yaani ni kelele zoote za Kenya kuhusu kuchanja na lockdowns hata 2% hamjafika?
![]()
MY TAKE
Ndo maana IMF wameamua kutoa zile +$500 mln kwa Tanzania
bado sielewi ni namna gani brt itafanyika hapona mim nimepita huko kutoka regent kairuki kwenda posta .. hizi ndo nilipiga
View attachment 1929308
View attachment 1929309
View attachment 1929310
kiufupi BRT ina milango pande zote kwa hiyo wakijenga vituo katikati kama Morogoro road au pembeni bado itaweza fanya kazi kitu muhimu ni hizo lanes za kati!bado sielewi ni namna gani brt itafanyika hapo
bado sielewi ni namna gani brt itafanyika hapo
Failed State's characterHiyo ni lugha ya picha, Dar es salaam inabadilika kila siku, 2019 tu juzi Tanzania ilikuwa haina flyover hata moja sasa tuna mpka interchange (3-level), barabara kubwa ilikuwa njia sita sasa tunazo njia kumi,
poor kenyans
A true three levels flyover in Kampala
![]()
![]()
![]()
MY TAKE
Kunyaland has something to learn about quality work!
hapo sawakiufupi BRT ina milango pande zote kwa hiyo wakijenga vituo katikati kama Morogoro road au pembeni bado itaweza fanya kazi kitu muhimu ni hizo lanes za kati!
ila pia itabidi hii road iwe na foot bridge kadhaahii barabara wakianza kujenga brt wataifumua baadhi ya maeneo kama nilivyosema.. nyie subir mtaona tu
Hio lazima..hata ya tegeta nafasi ya kati haitoshi..so lazima ifumuliwe hii kitu ndo inanikera wangemalizia kabisa kuliko kufuma na kufumuahii barabara wakianza kujenga brt wataifumua baadhi ya maeneo kama nilivyosema.. nyie subir mtaona tu
bado sielewi ni namna gani brt itafanyika hapo
hii barabara wakianza kujenga brt wataifumua baadhi ya maeneo kama nilivyosema.. nyie subir mtaona tu