eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Ndio hii hapa inajengwa.
View attachment 1924221
View attachment 1924222
View attachment 1924223
View attachment 1924224
Hamna hata aibu kuonesha.
Ndio hii hapa inajengwa.
View attachment 1924221
View attachment 1924222
View attachment 1924223
View attachment 1924224
Ndio mana nakuita fool....I know you're pained for seeing Mombasa having better marked and cleaned roads kuliko Dar is slum, alafu unaongelea sidewalks in Mombasa wakati Tanzania hamna barabara ya sidewalks hata moja![]()






Waafrika tunafaa tukifanye kiswahili iwe lugha ya afrika, nmefarijika kweli kuona hii vidio, yani msumbiji kuna kiswahili safi kushinda Kenya daah,
Kuna vitu vingine havimake sense kabisa. Kama hapo kwenye electricity connection. Dar peke yake ina watu 4 Mil lakini eti nchi nzima watu waliokua na umeme ni 2.7m. Mbona sielewi? ?Unatetea ujinga, acha nikuambie kitu GDP yetu imefanya.
Tarmacked roads
Kenya 21,000km
Tanzania 9,000km
Electricity connectivity
Kenya 70%
Tanzania 37%
People connected to electricity
Kenya 8.5M
Tanzania 2.7M
Total health centers
Kenya 13,000
Tanzania 8,000
Total number of schools.
Kenya 80,000
Tanzania 42,000
Ports
Mombasa 22 berths
Dar is slum 7 berths
Hivi kwa nini kuwa mnasahau southern corridor pia? Siku zote hamuizungumzii kabisaI didn't know I was arguing with a toddler, taarifa za 2021 zitatoka 2022. Taarifa zenye ziko right now Ni za 2020 where northern corridor did 33M tonnes against 16M tonnes ya Central corridor
![]()
From Tanzanite Park rooftop swimming pool.
BRT Morocco Mwenge Line.
View attachment 1924436
View attachment 1924437
View attachment 1924438
View attachment 1924439
View attachment 1924440
View attachment 1924441
Hehehehe road safi kama renderFrom Tanzanite Park rooftop swimming pool.
BRT Morocco Mwenge Line.
View attachment 1924436
View attachment 1924437
View attachment 1924438
View attachment 1924439
View attachment 1924440
View attachment 1924441




Ingekuwa ndiyo kwanza tunaanza ku operate BRT system sawa but cc ni wazoefu wa BRT system, so huu ushauri nenda uwape Uhuruto kabla ya pesa za tax payers hazijaendelea kuharibika mana kule wanajenga kituko cha mwakaKi ukweli, hii BRT ita wasumbua sana.
1. Vituo ni vyembamba sana. Utakuja kuona iki/kama itaanza operations.
2. Barabara ya BRT hapo kituoni inatakiwa atleast iwe 2 lanes. Ili while basi moja limesimama kuchukua/kushusha abiria, lingine liweze kupita.
Kwa hapo ilivyo, Mark my words, itawatesa sana.




Hehehehe road safi kama render![]()
Kila tunachofanya mna copy ili muende sawa na Tz lkn ndio kwanza mnaharibuBRT yenye itajengwa along the expressway..
View attachment 1924456View attachment 1924459View attachment 1924460View attachment 1924463View attachment 1924464View attachment 1924465



Dar ina zaidi ya wakazi milioni 7 co nne.Kuna vitu vingine havimake sense kabisa. Kama hapo kwenye electricity connection. Dar peke yake ina watu 4 Mil lakini eti nchi nzima watu waliokua na umeme ni 2.7m. Mbona sielewi? ?
Sijui kwann huu mradi wa brt phase 4 haunzi wakati pesa zilishapatikana tangu Sijui mwaka juzi mwishoni au Sijui mwaka jana mwanzoni
Nimeona na pale Ilala boma mambo yanaendelea, hii miradi ya BRT ikikamilika phase zote daahh sijui itakuwaje.Hapo katikati nadhani wataanza kupashughulikia soon.
Hapo katikati nadhani wataanza kupashughulikia soon.
Hehehehe road safi kama render![]()

. Ndio feeling unapata kutoka kwenye lami na kuingia kwenye hilo zege. Macho yako yakiwa yamekuandaa utajibamiza kidogo lakini unapita kama haujaingia tabaka lingine
.Acheni kuongea private affairs za watu huku ongeleeni maendeleo.Hayo ya kodi waachieni TRA wenyeweNakuunga mkono kwa hili
Mo n mbabaishaji saba niliwahi kaa na wafanyakazi wa kiwanda chake cha nguo pale moro (polyster /21 century) huezi maini mtu anafanyakazi 12hrs+/6 days analipwa 150000 kwa mwezi
Pia jamaa ankwepa sana kodi nliwahi ona nguo zinazalishwa pale ila cha ajabu znapigwa made in nigeria niliumia sana. Kile kiwanda n kichafu balaa na wafanyakazi wamechoka sana hadi wanatia huruma
Appreciation for Domino tower from Global Construction ReviewNairobi is a construction site. Below is the construction of 32 towers each 15 floors😍😍😍
View attachment 1924300
View attachment 1924301
View attachment 1924302